Rais Magufuli: Pesa za Uhuru zijenge barabara ya Mwenge-Morocco Dar es Salaam

Bajeti ya uhuru its more than 30 bn.

Basiii basiiiii basiiiiiiiiiiiiiiii, inatoshaaaaaaaaa, we will get HEART ATTACK...!!!

Mungu baba, hivi uko wapi, mbona umetuacha wenyewe baba, pekee yetu, tumekukosea nini..? Kwani Tz imekukosea nn..!? 😭😭😭

Asante Mungu kumleta Magufuli, ila Mungu umechelewa sanaaaa, ndio nn...!!?
 
Asilimia kati ya 75-80mya pato la Taifa inatoka Dar. Tukiimarisha Dar na kupunguza foleni tutaongeza ufanisi wa kazi na kukusanya kodi nyingi zaidi ambayo itatumika kujengea barabara zingine nchini. Ningependa kama ingewezekana bajeti nzima ya mwaka ya barabara iwekweze Dar baadae kungine si kwakuwa naishi Dar ila kwa sababu za Kiuchumi.

Nieleweshe mimi kupanuliwa kwa barabara hii itaongezaje ufanisi? Itaongeza kodi kwa asilimia ngapi?
 
Basiii basiiiii basiiiiiiiiiiiiiiii, inatoshaaaaaaaaa, we will get HEART ATTACK...!!!

Mungu baba, hivi uko wapi, mbona umetuacha wenyewe baba, pekee yetu, tumekukosea nini..? Kwani Tz imekukosea nn..!? 😭😭😭

Ni bora kuwa gizani kuliko kufaham haya mambo! Its crazy. Tena hiyo inawezekana ni kidogo. Kuna mambo mtu unatamani usiyasikie lakini ndo hivyo ukishakua mtumishi wa umma unashuhudia mambo ya ajabu sana
 
Haya ni Matumizi bora ya PAYE + kodi yangu.

Keep focusing JPM, your early days are awesome. Plz don't disappoint us.
 
Kumbe ni 4 billions tu ndo ilikua inahitajika kupiga double road!jk alikua anafanya nn ikulu?
 
Ni hatua nzuri sana lakini mbona pesa zote zinaelekezwa mkoa wa Dar?
Ina maana sie wa Bukoba hatupaswi kuneemeshwa na hizi pesa za zuio la Magufuli!
Ina maana Dar wao peke yao ndio wanalipa kodi?

Magufuli acha ubaguzi, hizo pesa zilenge kusaidia watanzania wote nchini na sio kwa wakazi wa Dar peke yao.

Mbona kijijini kwako Chato uliweka taa za kuongozea magari wakati hakukuwa na umuhimu kivile maana magari huko ni moja moja.

Mkuu labda hujaja DSM siku za karibuni kwa ufupi ni kuwa mji umesimama foleni kila mahali actually hata hizo pesa hazitoshi. Siku hizi foleni kuanzia mbuyuni tegeta hadi mwenge ni kitu cha kawaida sana. Nafikiri mumuelewe muheshimiwa rais, hakika naamini atawatembelea nyote huko mliko...
 
Haya mambo ya vipaumbele tumeshayapigia kelele sana humu.

Nani alikuwepo humu kipindi cha sherehe za miaka 50 ya uhuru?

Nani anakumbuka kiasi cha fedha kilichotumika kwenye shamrashamra za sherehe hiyo?

Nani hata anakumbuka sisi wengine kuhoji kwa nini watumie mahela yote hayo ilhali watoto hawana madawati na madaraja yanavunjika?

Sidhani hata mpo mnaokumbuka maana wengi wetu tuna kumbukumbu za muda mfupi sana.
 
Nieleweshe mimi kupanuliwa kwa barabara hii itaongezaje ufanisi? Itaongeza kodi kwa asilimia ngapi?

Ndugu labda hujui hii formula:

Saving + investment/ expenditure= income.

So as long as ur reducing expences your increasing your income. Kulingana na tafiti tunapoteza more than 4 billion kwa kukaa kwenye foleni each day.. Hope umeelewa sasa
 
Haya mambo ya vipaumbele tumeshayapigia kelele sana humu.

Nani alikuwepo humu kipindi cha sherehe za miaka 50 ya uhuru?

Nani anakumbuka kiasi cha fedha kilichotumika kwenye shamrashamra za sherehe hiyo?

Nani hata anakumbuka sisi wengine kuhoji kwa nini watumie mahela yote hayo ilhali watoto hawana madawati na madaraja yanavunjika?

Sidhani hata mpo mnaokumbuka maana wengi wetu tuna kumbukumbu za muda mfupi sana.

NN big salute...!!!🐒🐒🐒🐒🐒

You & I, ni team UKAWA... & still we are...!!

Ila kwa haya Mh. Rais Magufuli ameanza kufanya KWELI tumuunge mkono... MAGUFULI kweli ameanza kuonyesha ni RAIS... na anaweza kwenda KINYUME NA MFUMO WA CCM...!!! Sisi wananchi TUNATAKA MAENDELEO... na kudhibiti lavish lifestyle ya viongozi, wizi, uozo serikalini na maendeleo ya haraka... na Magufuli anaonyesha hayo...!!!

Najua ww ukiwa mmoja wapo, ulipigia kelele sana ufujaji wa FEDHA kwa njia nyingi sana... ebu tumpe muda huyu Magufuli, let's try our last chance...!!! Naona anaenda vizuri sana...!!!

Tz lost billions ktk mambo ya kishenzi shenzi tu serikalini for years...!!
 
Ni hatua nzuri sana lakini mbona pesa zote zinaelekezwa mkoa wa Dar?
Ina maana sie wa Bukoba hatupaswi kuneemeshwa na hizi pesa za zuio la Magufuli!
Ina maana Dar wao peke yao ndio wanalipa kodi?

Magufuli acha ubaguzi, hizo pesa zilenge kusaidia watanzania wote nchini na sio kwa wakazi wa Dar peke yao.

Mbona kijijini kwako Chato uliweka taa za kuongozea magari wakati hakukuwa na umuhimu kivile maana magari huko ni moja moja.
Huko kwenu pia mlikuwa mnaandaa gwaride la Uhuru? Ni nijuavyo, sherehe za Uhuru huwa/zilikuwa ni Dar tu.
 
NN big salute...!!!

You & I, ni team UKAWA... & still we are...!!

Ila kwa haya Mh. Rais Magufuli ameanza kufanya KWELI tumuunge mkono... MAGUFULI kweli ameanza kuonyesha ni RAIS... na anaweza kwenda KINYUME NA MFUMO WA CCM...!!! Sisi wananchi TUNATAKA MAENDELEO... na kudhibiti lavish lifestyle ya viongozi, wizi, uozo serikalini na maendeleo ya haraka... na Magufuli anaonyesha hayo...!!!

Najua ww ukiwa mmoja wapo, ulipigia kelele sana ufujaji wa FEDHA kwa njia nyingi sana... ebu tumpe muda huyu Magufuli, let's try our last chance...!!! Naona anaenda vizuri sana...!!!

Tz lost billions ktk mambo ya kishenzi shenzi tu serikalini for years...!!

Taratibu ndugu...mimi sina timu.

Ni mtu huru. Sipo timu CCM wala timu UKAWA.

Mimi ni Timu Ngabu.

Na sina tatizo kabisa na kupangilia vipaumbele kwa kuzingatia umuhimu wake.

Nachotaka kukumbusha tu ni kwamba haya mambo ya vipaumbele wengine tumeanza kuyapigia kelele hata kabla JF hajazaliwa.
 
Haya mambo ya vipaumbele tumeshayapigia kelele sana humu.

Nani alikuwepo humu kipindi cha sherehe za miaka 50 ya uhuru?

Nani anakumbuka kiasi cha fedha kilichotumika kwenye shamrashamra za sherehe hiyo?

Nani hata anakumbuka sisi wengine kuhoji kwa nini watumie mahela yote hayo ilhali watoto hawana madawati na madaraja yanavunjika?

Sidhani hata mpo mnaokumbuka maana wengi wetu tuna kumbukumbu za muda mfupi sana.

Ni Yale Yale! Billion 10 za mgombea zimefanya nini chadema?
 
Taratibu ndugu...mimi sina timu.

Ni mtu huru. Sipo timu CCM wala timu UKAWA.

Mimi ni Timu Ngabu.

Na sina tatizo kabisa na kupangilia vipaumbele kwa kuzingatia umuhimu wake.

Nachotaka kukumbusha tu ni kwamba haya mambo ya vipaumbele wengine tumeanza kuyapigia kelele hata kabla JF hajazaliwa.

Haya.... JK anakusalimia, juzi aliibukia Addis Ababa Ethiopia, kama popo bawa vile, anatumbua hela zetu tu...akasema yeye ni mwana michezo mzuri sana duniani, akaitakia kheri Timu ya Taifa ya Vijana...

Unamkumbuka JK..?
 
Attachments

  • 1448899931564.jpg
    1448899931564.jpg
    83.6 KB · Views: 159
Back
Top Bottom