Public Procurement Act 2011 inasemaje? Hakuna mchakato ni kuagiza tuu hata bila hata Budget Revision?
Imagine hadi leo pale karibu na Posta mpya kunacheua vinyesi kwa miaka 10
Mkuu ila tukubali, mambo mengine yatahitaji bajeti. Mfano; Elimu bure imeshatengewa pesa zake. Naona tumuache hizi ndogondogo aendelea kukurupuka nazo huenda kuna siku atazielekeza kwenye jambo la maana zaidi.Ahsante mkuu nimekuelewa vema. Nimeyakumbuka maneno ya Hashim Rungwe kuwa wananchi wanataka wawe na uwezo wa kupata milo 3 kwa siku, wapeleke watoto shule na wapate elimu bora, huduma ya maji safi na salama na afya bora wala hawatayabeba madaraja mgongoni. Kwa mimi naona hii ni wrong decision ameifanya Mh. Rais hizo hela zingesaidia kutatua moja ya hayo juu na angapata kitu cha kuonekana. Barabara ya morocco haina impact kubwa ktk uchumi.
Ngoja nitafute kiwanja Dar sasa maanake kwa Magufuli Tz ni Dar pekee yake.
Hiyo hela ingetumika kufanya miundombinu mipya ya maji hapa Dar
Haina haja ya kuja mkuu, naamini atavuka hata nje ya mipaka ya Tanzania! Kati ya siku 3,650 anazotaruhusiwa kuwa rais wetu kikatiba, yeye amatumia siku 25 tu hadi sasa!
Bandari aliyoigusa, ni mali ya nchi nzima ijapo ipo Dar!
TRA alioyoigusa ni Makao makuu, tutegemee mikoani mtalipata hili joto japo na penyewe atafika hadi mikoani!
TUZIDI KUMWOMBEA TU MKUU KULINGANA NA IMANI ZETU, MAANA NYAYA ZA UMEME ANAZOSHIKA WAPO WANAOMWOMBEA ZIMNASE APIGWE SHOTI!
Muone huyu nae...vikao vya nini sasa? Yani waanze tena mambo ya upembuzi yakinifu?
Hata Mimi nimekuuliza hivyo mwishowe sijapata jibu!Japo sina uhakika na chanzo chako cha habari, tunaomba kuuliza, hivi nchi hii kila kitu ni Dar peke yake, ama Dar ndio kuna walipa kodi peke yao?
Asilimia kati ya 75-80mya pato la Taifa inatoka Dar. Tukiimarisha Dar na kupunguza foleni tutaongeza ufanisi wa kazi na kukusanya kodi nyingi zaidi ambayo itatumika kujengea barabara zingine nchini. Ningependa kama ingewezekana bajeti nzima ya mwaka ya barabara iwekweze Dar baadae kungine si kwakuwa naishi Dar ila kwa sababu za Kiuchumi.
Kuna sheria na taratibu. Mafungu yanaidhinishwa na Bunge kutokana na mapendekezo ya serikali; haya yanayofanya na Raisi yangetekelezwa kwa kufanya upya mapitio ya Bajeti january 2016 badala ya matamko tuu
Kuna sheria na taratibu. Mafungu yanaidhinishwa na Bunge kutokana na mapendekezo ya serikali; haya yanayofanya na Raisi yangetekelezwa kwa kufanya upya mapitio ya Bajeti january 2016 badala ya matamko tuu
hakuna muda huo bhana,
mambo ya vikao na upembuz hayana tija kwa mwananchi wa kawaida.
kwani hata hiyo pesa ilipangwa ktk bajeti itumike kwenye sherehe za uhuru?????
mi naona tija kwanza hayo mengine tutayapanga tukitulia.
hizi peas za sherehe ya uhuru tayari zimeshaizinishwa na bunge kupitia bajeti iliyopita kitu anachofanya magufuri ni kubadili alocation ya pesa tu bila kubomoa bajeti upo hapo. na hata ikirudi bungeni sitegeme kusikia hapana bali ni ndiyooooo tu.
Mkuu subirini zile 80bln za macontena zinakuja!huyo nae kila kitu Dar vitanda dar,barabara dar....utazani dar ndio waliomchagua peke yao
Sijaelewa unamaanisha nini ndugu...