Rais Samia ampokea Rais wa Poland, Andrzej Duda, Ikulu ya Dar es Salaam, Februari 9, 2024

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimpokea rasmi Rais wa Jamhuri ya Poland Mhe. Andrzej Duda Ikulu jujini Dar es Salaam leo tarehe 09 Februari, 2024

''Poland imekuwa ikichangia shughuli mbalimbali za maendeleo hapa nchini ikiwemo sekta ya afya, ambayo itatekeleza miradi itakayo imarisha utowaji huduma katika hospitali tano hapa nchini. Hospitali hizo ndani ya mkoa wa Dar es Salaam ni Aga Khan, kituo cha afya Chanika, Kituo ya hospitali rufaa ya Temeke, kituo ya hospitali rufaa ya mwananyamala ambapo watasaidia pia hospitali ya wilaya ya magana Mwanza". Alisema Rais Samia

Aliendelea kuongelea kuwa, Ziara hii inaenda kuemalisha Uchumi wetu kwani Poland ni nchi ya 21 katika ukubwa wa Uchumi duniani. Maeneo ya kushirikiano kati ya nchi ya Poland na yetu kwenye nyaza ya elimu, kilimo, biashara, uwekezaji na utalii pia maeneo ICT au TEHAMA, kwasababu wenzetu katika eneo hilo.

Rais Samia alisema, "Tumekubali kuendelea kumairisha shirikiano uliyopo na kumasisha uwekezaji katika sekta za mikakati kama zile za viwanda, uzalishaji ni shati, madini, gesi asilia na uchumi wa Bluu."


President Andrzej Duda's Historic Visit to Tanzania Strengthening Bilateral Ties.
President of the United Republic of Tanzania, Samia Suluhu Hassan, officially received the President of the Republic of Poland, His Excellency Andrzej Duda, at the State House in Dar es Salaam today, on February 9, 2024. The reception underscores the importance and warmth of the diplomatic relations between the two nations.

During this historic meeting, both leaders are expected to engage in discussions aimed at strengthening ties and exploring new avenues for collaboration in various sectors, as highlighted in the agenda of the visit. The exchange between the two presidents will likely include discussions on agriculture, taxation, industry, trade, tourism, education, health, wildlife conservation, infrastructure, environmental management, investment, and parliamentary cooperation.

The visit is not only a diplomatic gesture but also an opportunity for both countries to deepen their understanding and cooperation on matters of defense and security, energy and gas, mining, transportation, cybersecurity, culture, and the Blue Economy.

The meeting between President Samia Suluhu Hassan and President Andrzej Duda signifies a commitment to fostering a strong and enduring partnership between Tanzania and Poland, with the aim of achieving shared goals and mutual benefits for the citizens of both nations.

WhatsApp Image 2024-02-09 at 12.25.49_754f39bd.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgeni wake Rais wa Poland Mhe. Andrzej Duda mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.

WhatsApp Image 2024-02-09 at 12.29.28_4a494a1c.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na mgeni wake Rais wa Poland Mhe. Andrzej Duda wakati wa Wimbo wa Taifa ukiimbwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.

WhatsApp Image 2024-02-09 at 12.31.58_cc12ba2e.jpg

WhatsApp Image 2024-02-09 at 12.31.57_211619a3.jpg

Rais wa Poland, Andrzej Duda akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.

WhatsApp Image 2024-02-09 at 12.45.23_473c31db.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Poland Mhe. Andrzej Duda wakati wakielekea kwenye mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.

WhatsApp Image 2024-02-09 at 12.34.06_31549c6d.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mgeni wake Rais wa Poland Andrzej Duda, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.
Ikulu.jpg


Pia soma - Rais wa Poland kuwasili nchini kwa ziara ya siku mbili tarehe 8-9 February 2024
 
Aiseeeee kumbe........ niko ferry hapa navuka kwenda kigamboni yaani nasikia mizinga inapigwa TWA TWA TWA TWA TWA TWA......
 
Back
Top Bottom