badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,097
Barabara haitakua limited kwa wakazi wa masaki tu,ht we ukitaka zunguka pita kuleKama nimemuelewa mleta mada yeye anataka kujua economuc impact yake hilo daraja. Ndiyo maana ameingelea population ya wakaaji wa masaki na oysterbay ukilinganisha na maeneo mengine ya jiji ambayo yana population ya kufa mtu.
Ferries zingetosha sana kuhudumia wakaazi wa oyesterbay/masaki wajao mjini.
Maana hiyo barabara haitakuwa na kuchepuka, ni moja kwa moja and so is ferry. Hiyo pesa ingekua relocated maeneo mengine .