Rais Magufuli na yoote mazuri ila hapa sijakuelewa

Mimi nilifanikiwa kuwepo kama mkusanya data kwenye utafiti uliofanywa na JICA chini ya udsm. Utafiti ulihusu chanzo cha foleni dar na ulifanyika jiji lote la dar. Chanzo kikubwa cha folen kilionekani ni ofisi za serikali kuwa katikati ya jiji, soko la kariakoo kuwa katikati ya jiji, bandari kutegemea malori badala ya treni, majengo makubwa kutokuwa na parking hivyo wato kublock barabara za ndani ya jiji kwa kupark kandokando ya barabara. Solution ni kuhamisha ofisi za serikali either kupeleka dodoma au nje ya jiji, kuwa na masoko makubwa katika wilaya nyingine kama temeke hivyo kuwafanya wakazi wengi wa huko kutokuja katikati ya jiji, kutumia reli iliyopo kikamilifu badala ya kutegemea malori au kuwe na barabara ambayo haitapitia ubungo toka bandarini. Kuhakikisha kila jengo linalojengwa kuwa na parking yake.

Tatizo la folen haliwezi kwesha hata wafanye nini kama hawatazingatia hayo kwan wanachokiangalia kwasasa ni kutatua tatizo la leo na sio kuangalia kesho. Kama watafanikiwa itadumu ndani ya miaka mitano tu then litarudi palepale kwan watu wengi bado wananunua magari na idadi yao inaongezeka na huduma zote muhimu zimejilundika sehemu moja.
Utaweka barabara za juu ubungo na tazara ila ukishapita hapo mbelen utakuwa na folen tu. Mimi ningeona wafikirie kuutanua mji na waache kung'ang'ania hapo posta na kariakoo!!
 
Lile daraja likijengwa litapunguza foleni ya pale salenda maana magari ya Masaki, Oyesterbay hayatalazimika kupita salenda bbadala yake yataunga moja kwa moja kutoka coco beach na kutokea Agakhan na hivyo kupunguza msongamano wa magari yanayopita barabara ya Ali Hassan Mwinyi kwenda mjini.
Kwa akili yangu ndogo ilitakiwa barabara ya kilwa ingefanyiwa utaratibu ili - ipitilize kuanzia pale BP bandari na kupitia pembezoni gate namba 2, geti namba 1, ferry na iungane na hio ya aghakani to Masaki (kama highway) ingeweza kusadia kupunguza msongamano.
 
Mimi nilifanikiwa kuwepo kama mkusanya data kwenye utafiti uliofanywa na JICA chini ya udsm. Utafiti ulihusu chanzo cha foleni dar na ulifanyika jiji lote la dar. Chanzo kikubwa cha folen kilionekani ni ofisi za serikali kuwa katikati ya jiji, soko la kariakoo kuwa katikati ya jiji, bandari kutegemea malori badala ya treni, majengo makubwa kutokuwa na parking hivyo wato kublock barabara za ndani ya jiji kwa kupark kandokando ya barabara. Solution ni kuhamisha ofisi za serikali either kupeleka dodoma au nje ya jiji, kuwa na masoko makubwa katika wilaya nyingine kama temeke hivyo kuwafanya wakazi wengi wa huko kutokuja katikati ya jiji, kutumia reli iliyopo kikamilifu badala ya kutegemea malori au kuwe na barabara ambayo haitapitia ubungo toka bandarini. Kuhakikisha kila jengo linalojengwa kuwa na parking yake.

Tatizo la folen haliwezi kwesha hata wafanye nini kama hawatazingatia hayo kwan wanachokiangalia kwasasa ni kutatua tatizo la leo na sio kuangalia kesho. Kama watafanikiwa itadumu ndani ya miaka mitano tu then litarudi palepale kwan watu wengi bado wananunua magari na idadi yao inaongezeka na huduma zote muhimu zimejilundika sehemu moja.
Utaweka barabara za juu ubungo na tazara ila ukishapita hapo mbelen utakuwa na folen tu. Mimi ningeona wafikirie kuutanua mji na waache kung'ang'ania hapo posta na kariakoo!!
Tembelea miji mingine uone barabara zilivyo.
 
Na huko Aga Khan watatengeneza barabara ya ku accomodate jam ya kutokea kwenye daraja na jam ile ya siku zote? Ki vipi? Hii nchi imewahi kuwa na MARAIS watano lakini imewahi kuwa na KIONGOZI mmoja tu, JK Nyerere.
 
Unampa sifa bure, Nyerere hakuwahi kuwaza hayo masuala ya road infrastructure, hakuona mbali hata kidovo. Nyerere alipata heshima na sifa kubwa kwa sababu alikuwa anatumia njia ya matope na makorongo akitoka Musoma Airport kwenda kwake Butiama. In fact hata kutoka Mwanza kwenda Musoma alikuwa anapita kwenye mishimo na matope, there was no paved roadways. Nyerere never had any infrastructure vision beyond what old Germans and Britons erected.
 
Bado natafakari na nashindwa kupata majibu ya ujenzi wa daraja kwa mujibu wa Hotuba yako ya jana litakalo pita baharini likitokea Coco beach mpka Hospitali ya Aga Khan, najaribu kukokotoa mahesabu yanakataa kabisa, na mimi sijisifu lkn niko vizuri kiasi fulani na namba lkn kwa hili bado nashindwa kupata jibu embu ngoja nililalie labda kesho asubuhi nitapata jawabu lkn mpaka sasa hivi nimeshindwa!

Hili daraja ni la nini?
Mambo ambayo nimekuwa najiuliza wakazi wote wa Masaki na Oysterbay ni wachache sana lakini na zaidi ya hapo Masaki na O'bay kunagota yaani hakuendelei hivyo ina maana ni br. itakayaotumiwa na watu wale wale tu kila siku na isitoshe wakazi wa hayo maeneo ni kati ya watu ambao foleni kwao siyo tatizo kubwa kama wengine leo hii kama wanaingia kazini saa moja na nusu wanaondoka saa moja kamili dakika 15-20 wako mjini na kurudi karibia hivyo hivyo sasa mahesabu yangu hayanipi kabisa kama nilivyosema ngoja niliache mpaka kesho asubuhi labda nitapata jawabu!
sasa hivi ni kukurupuka tu,
 
Unampa sifa bure, Nyerere hakuwahi kuwaza hayo masuala ya road infrastructure, hakuona mbali hata kidovo. Nyerere alipata heshima na sifa kubwa kwa sababu alikuwa anatumia njia ya matope na makorongo akitoka Musoma Airport kwenda kwake Butiama. Nyerere never had any infrastructure vision beyond what old Germans and Britons erected.
Hujielewi wewe. Uongozi ni zaidi ya kushinda site, Uongozi ni pamoja na kujua jambo lipi ni sahihi, muda gani na mahali gani.

Nyerere aliichukua nchi hii ikiwa na changamoto nyingi. Aliweka misingi kuanzia kwenye mambo ya kijamii, umoja wa kitaifa/kimataifa nk.

Hawa wameikuta nchi ina msingi, kila mmoja akawa anajenga kile anachokijua kwenye msingi huo. Ndio maana NYUMBA yetu ina shape ya ajabu sana kwa sababu kila mmoja hawa wanne wamejenga kimtindo wao.

Sasa, huyu anapaswa ABOMOE BOMA na kuanza kujenga upya kuanzia kwenye MSINGI ambao tunao. Kitendo chake cha kuendelea kujenga kwenye BOMA hili ndo ubovu wa uongozi wenyewe.
 
Linganisha barabara zetu na za huko kwa uchache wa magari tuliyo nayo. naamini hizi zetu hazifai hata kuita barabara.
Haha!! Tunatakiwa kuliona hili tatizo kwa upana mkubwa sana. Ili ukifananisha na huku kwa hawa jamaa, mmhhhh! We are million years behind them
 
Na hatujui ni kikao gani cha bunge au kikao gani cha halmashaur kimelipitisha nambo hili, huu ni ukurupukaji wa aina yake nao
Juzi nimekuta mjadala mkubwa sana sehemu kwamba ni sahihi Mhe wetu JPM kuwapa pesa mahakama bila kuidhinishwa na mamlaka husika mfano bunge etc, kwamba kutoa cheque ya 12 bil direct kule mahakama ni sahihi? Mpaka naondoka eneo hilo bado kulikuwa hakijaeleweka aisee.
 
Tatizo lenu mnalala tuu bila kufatilia.. hata kusoma mavivu. cha ajabu Google ipo na hizo taarifa unajifanya kulalamika.hapa jf. Mradi wa muda mrefu. Magufuli sio.mjinga asijuie taratibu?
Aisee kumbe Google search engine sasa inajua mpaka maamuzi ya vikao vya halmashauri na manispaa?? This is news to me aisee.
 
Na huko Aga Khan watatengeneza barabara ya ku accomodate jam ya kutokea kwenye daraja na jam ile ya siku zote? Ki vipi? Hii nchi imewahi kuwa na MARAIS watano lakini imewahi kuwa na KIONGOZI mmoja tu, JK Nyerere.
Unapo zungumza mambo usijione wewe ndio mjuaji. Magufuli amesimamia barabara ngapi asijiulize hayo maswali yako?
 
Hujielewi wewe. Uongozi ni zaidi ya kushinda site, Uongozi ni pamoja na kujua jambo lipi ni sahihi, muda gani na mahali gani.

Nyerere aliichukua nchi hii ikiwa na changamoto nyingi. Aliweka misingi kuanzia kwenye mambo ya kijamii, umoja wa kitaifa/kimataifa nk.

Hawa wameikuta nchi ina msingi, kila mmoja akawa anajenga kile anachokijua kwenye msingi huo. Ndio maana NYUMBA yetu ina shape ya ajabu sana kwa sababu kila mmoja hawa wanne wamejenga kimtindo wao.

Sasa, huyu anapaswa ABOMOE BOMA na kuanza kujenga upya kuanzia kwenye MSINGI ambao tunao. Kitendo chake cha kuendelea kujenga kwenye BOMA hili ndo ubovu wa uongozi wenyewe.
we pia hujielewi
 
Hivi wewe unaamini hili bunge tulilonalo ndilo la kulipelekaa maamuzi ya maendeleo?
Bunge hili limejaa wabunge toka CCM na Magufuli ni Rais anayetokana na chama hicho hicho, unataka kutuambia wabunge wa chama chake ni wapinga maendeleo!?
 
Mimi nilifanikiwa kuwepo kama mkusanya data kwenye utafiti uliofanywa na JICA chini ya udsm. Utafiti ulihusu chanzo cha foleni dar na ulifanyika jiji lote la dar. Chanzo kikubwa cha folen kilionekani ni ofisi za serikali kuwa katikati ya jiji, soko la kariakoo kuwa katikati ya jiji, bandari kutegemea malori badala ya treni, majengo makubwa kutokuwa na parking hivyo wato kublock barabara za ndani ya jiji kwa kupark kandokando ya barabara. Solution ni kuhamisha ofisi za serikali either kupeleka dodoma au nje ya jiji, kuwa na masoko makubwa katika wilaya nyingine kama temeke hivyo kuwafanya wakazi wengi wa huko kutokuja katikati ya jiji, kutumia reli iliyopo kikamilifu badala ya kutegemea malori au kuwe na barabara ambayo haitapitia ubungo toka bandarini. Kuhakikisha kila jengo linalojengwa kuwa na parking yake.

Tatizo la folen haliwezi kwesha hata wafanye nini kama hawatazingatia hayo kwan wanachokiangalia kwasasa ni kutatua tatizo la leo na sio kuangalia kesho. Kama watafanikiwa itadumu ndani ya miaka mitano tu then litarudi palepale kwan watu wengi bado wananunua magari na idadi yao inaongezeka na huduma zote muhimu zimejilundika sehemu moja.
Utaweka barabara za juu ubungo na tazara ila ukishapita hapo mbelen utakuwa na folen tu. Mimi ningeona wafikirie kuutanua mji na waache kung'ang'ania hapo posta na kariakoo!!
Angalia hii piece of very useful information but toka muda hii mada iliyoletwa mpaka sasa no comment, wakati mleta uzi ameshiriki hiyo research na anachosema, if correct, ni very useful. Hii ndiyo tabu yetu wabongo hatutaki facts...
 
Back
Top Bottom