Ninajiuliza hii ziara yake Kama ni ya kidini Hasa pale anapotembelea misikiti.
Sioni Kama Ziara hii ina manufaa yoyote kwa taifa zaidi ya kupoteza rasilimali za taifa.
Mzee huo msikiti sio kama wanaingia na viatu hapo ni lango kuu la kuingilia tu, ila ndani ya msikiti lazima kuvua viatu, huu msikiti sana umewekwa kwa maonyesho zaidi maana muda mwingi ukienda utakuta watalii nje wanapiga mapicha na ni mkubwa sana sehem ya kuswalia ipo ndani sana, ila hapa chakujifunza pamoja na watalii wengi kuja kupiga picha lakini waislam hawawadhuru
nashukuru ndugu yangu kwa kumfahamisha uyo jamaa aliyetaka kupotosha umma kwa kusema Ati JK ameingia na Viatu msikitini akasahau kuwa hapo si mahala pa kuswalia safi sana msikiti una eneo kubwa na hata siku moja Duniani kote hakuna Muislam anayeingia na Viatu msikitini....na wala asishangae Kikwete kuingia na Suti Uislam haukatazi vazi la suti vazi lolote analovaa mtu anaruhusiwa ili mradi livuke magoti........
Ponda yupo sega dansi anakula maharagwe yaliyooza na dona gumu shughuri ataiona akikalia debe... najua akitoka huko fujo zake za kijinga ataziachaMkuu Duduwasha, Shehe Ponda atakuwa ame-note hili JK na ujumbe wake akirudi maandamano kupinga kuudharirisha musikiti.
Haaaaaaaa!!!!!!!!!!! Ameingia Msikitini na VIATU???:nerd::A S check_03::lalala::ban::director::hurt:
Ponda yupo sega dansi anakula maharagwe yaliyooza na dona gumu shughuri ataiona akikalia debe... najua akitoka huko fujo zake za kijinga ataziacha
acha upuuziMBONA UNAKIONGELEA IKO KITENDO AS IF KAFANYA KOSA, ULITAKA AINGIE KT SINAGOGI NDO UFURAI, MDINI MKUBWA WEWe
Maaaskini! Akimaliza kutembelea msikiti sijui ataenda kutembea wapi? Hivi jamani bado kuna sehemu ngapi za kutembelea ili walao tupate hope kuwa muda si mrefu ataanza kufanya kazi? Aaaaghhhhrrrrrrr!
Kwani huko hawana FARASI??
sasa hapo ni kashfa muundo wa maternity uliutengeneza wewe? acha kashfa na kuvaaa fupi ni mapendekezo ya mtu na si waislam wengi acha unafiki wewe mtoto
na baada ya wewe kusema hivi ukanifanya na mimi nigundue uzuri wa hii coment naamua kukupa like.Nilipokuwa nasoma comment yako hii, nilimaliza then nikahisi kama sijakuelewa, nikairudia mara ya pili kuisoma. Nilipomaliza nikajikuta nacheka sanaaaaa kisha nikaamua kukupa LIKE