Rais Kikwete atembelea msikiti wa Sultani Qaboos Grand Oman

Maaaskini! Akimaliza kutembelea msikiti sijui ataenda kutembea wapi? Hivi jamani bado kuna sehemu ngapi za kutembelea ili walao tupate hope kuwa muda si mrefu ataanza kufanya kazi? Aaaaghhhhrrrrrrr!
 
Ninajiuliza hii ziara yake Kama ni ya kidini Hasa pale anapotembelea misikiti.
Sioni Kama Ziara hii ina manufaa yoyote kwa taifa zaidi ya kupoteza rasilimali za taifa.

Hakuna zira ya JK yenye tija kwa taifa zaidi sana akitoka Uarabuni akiwa amebeba tenda kwa ajili ya Mfungo, atapishana angani na ndege zilizo beba wanyama kutoka mbuga za Tanzania
 
Haaaaaaaa!!!!!!!!!!! Ameingia Msikitini na VIATU???:nerd::A S check_03::lalala::ban::director::hurt:
 
Mzee huo msikiti sio kama wanaingia na viatu hapo ni lango kuu la kuingilia tu, ila ndani ya msikiti lazima kuvua viatu, huu msikiti sana umewekwa kwa maonyesho zaidi maana muda mwingi ukienda utakuta watalii nje wanapiga mapicha na ni mkubwa sana sehem ya kuswalia ipo ndani sana, ila hapa chakujifunza pamoja na watalii wengi kuja kupiga picha lakini waislam hawawadhuru

You are damn right


40547-50_muscat_qaboos_mosquec12e.jpg
 
nashukuru ndugu yangu kwa kumfahamisha uyo jamaa aliyetaka kupotosha umma kwa kusema Ati JK ameingia na Viatu msikitini akasahau kuwa hapo si mahala pa kuswalia safi sana msikiti una eneo kubwa na hata siku moja Duniani kote hakuna Muislam anayeingia na Viatu msikitini....na wala asishangae Kikwete kuingia na Suti Uislam haukatazi vazi la suti vazi lolote analovaa mtu anaruhusiwa ili mradi livuke magoti........

Mbona waislamu halisi wanapendelea sana kuvaa pekosi fupi zinazo pita magoti kidogo tu, kanzu muundo wa maternity na miyeboyebo nilidhani ndo masharti ya kuingia musikitini?
 
Kwa hiyo siku yote ya jana imeisha kwa ziara ya kuangalia msikiti??... Haya ni mambo ya aibu kufanywa na rais wa nchi...
 
Mkuu Duduwasha, Shehe Ponda atakuwa ame-note hili JK na ujumbe wake akirudi maandamano kupinga kuudharirisha musikiti.
Ponda yupo sega dansi anakula maharagwe yaliyooza na dona gumu shughuri ataiona akikalia debe... najua akitoka huko fujo zake za kijinga ataziacha
 
Jina la sultan qaboos linatamkwaje kidogo linanipa shida,tafadhali anaejua kulitamka aniwekee utamkaji wake.
 
Ponda yupo sega dansi anakula maharagwe yaliyooza na dona gumu shughuri ataiona akikalia debe... najua akitoka huko fujo zake za kijinga ataziacha

Serikali ya Dr. Dhaifu haina ubavu wa kumnyazisha Ponda kwa sababu wanazitegemea sana kura za hwa jamaa kurudi madarakani 2015, hivyo magamba watafanya kila jithada kuhakikisha Ponda anatoka haraka sana na kuyamaliza.
 
Wakristo tunafanya makosa makuu Kwa Sasa wacha niseme tu...

Huu si muda wa kupalilia ubaya au kumnyooshea Mtu kidole, lazima tukubali NCHI iko pabaya Kwa Sasa Kwa sababu kuna baadhi ya watu ugumu wa maisha, matatizo Yao Binafsi ukijumlisha frustrations Za kimaisha wanatamani sana NCHI iingie Kwenye machafuko flani labda wanaweza kupenya Na kuibaiba vitu viwili vitatu then wakasogeza maisha Yao .. Na watu hawa wanatumia ushawishi wa Dini Kama turufu ya kuendesha uharamia wao, mfano mzuri ni makanisa yanayofanyiwa fujo sambamba Na uporaji Wa Mali Kama Tv, generator, vinanda(keyboard) Za kanisani haiingii akilini kwamba muislam ameiba keyboard aipeleke wapi ilihali msikitini hawaitumii, ni Wahuni tu hawa ambao wanatumia faida ya baadhi ya viongozi Wa dini waliopandwa Na Roho ambazo si nzuri Kwa kuendesha mazoezi haya.

Ni kweli ni wazi kwamba sehemu kubwa ya umbo la viongozi wakuu serikalini pamoja Na maeneo ya wizara nyeti zote Rais ameweka WAISLAM.. Kwa namna gani Sijui Moyo wake aliwazanini kufanya hivyo lakini madhara yake ndio udhaifu Na ukigugumizi wa kiutendaji Jambo linapofikia Kwenye sura ya dini tena Yao. Imagine Alhaji Kova anavunja KATIBA ya NCHI aliyoapa kuilinda Kwa kuwaachia watuhumiwa kinyume Na Sheria. Na baada ya kuvunja KATIBA mbele ya mabosi wake wote ambao nao ni WAISLAM bado anaendelea Kuchapa Kazi .. Mimi Kama ni kiongozi Mkristo , Na wakristo wenzangu eti ndo wananishinikiza nivunje KATIBA Kwa kigezo Cha kidini , ndo ntawashughulikia vema kabisaa Na nikifika Na kanisani kusali ntawaapa makavu live kwamba wasilogwe tena kutumia udini Kama chochezi la kuvunja KATIBA Kwa mashinikizo. Sasa Sijui Alhaji Kova anawaza manini..

Anyway Kama nilivyosema wakristo tusifanye makosa this time, wakristo LAZIMA tuombe.. Tujue mambo haya yana Mkono Wa shetani, tisipoomba sisi Wenye AKILI tumtegemee nani atuombee. Lazima tumng'oe pepo walio nyuma ya mchafuko haya kisha WAISLAM wote watakuwa saafi Na naamini wengi WATAOKOKA including mwislam anayesoma Uzi huu.. Na mwislam ataye comment negative Uzi huu yeye ndiye awe Wa kwanza kuokoka.. AMEN..
 
Maaaskini! Akimaliza kutembelea msikiti sijui ataenda kutembea wapi? Hivi jamani bado kuna sehemu ngapi za kutembelea ili walao tupate hope kuwa muda si mrefu ataanza kufanya kazi? Aaaaghhhhrrrrrrr!

Kwani huko hawana FARASI??
 
sasa hapo ni kashfa muundo wa maternity uliutengeneza wewe? acha kashfa na kuvaaa fupi ni mapendekezo ya mtu na si waislam wengi acha unafiki wewe mtoto:mad:
 
Kwani huko hawana FARASI??

Mnh! huko farasi si jadi yao, labda watampandisha kwenye ngamia maana kuna wale walio mpandisha kwenye bembea. Xuma hebu nitafutie cacico anaweza kuleta mawazo mbadala ya namna ya kupunguza hizi safari maana kama ni kupiga picha tumeshapiga saaana tu! kuanzia zile za viongozi wenzetu mpaka zile za wachezaji na wasanii. Kama ni kupanda kwenye vyombo mbalimbali basi tumeshapanda sana tu! kuanzia gari, ndege, farasi na hata bembea! Kama ni zawadi tushapewa saaaana tu mpaka jezi! Sasa nini kimebaki jamani?

Hebu tusaidieni tupunguze hizi safari, tutulie nyumbani na kutatua matatizo yanayotukabili. Matatizo ambayo wengi wanayaona ni madogo lakini baada ya muda si mrefu tutakuja kujuta maana tutakosa pa kukimbilia! Leo kanisa moja linachomwa watu wanaona ni sawa tu. Linaongezeka la pili, la tatu na kuendelea bado inaonekana ni vurugu tu za vijana wasio na kazi. Watu wanauawa mikononi mwa vyombo vya dola vinaundwa vijitume na kutoa vijiripoti siku zinaenda. Sasa RPC anauawa na tena FFU bado tutaendelea kujivunia kuwa tuna nchi ya amani na utulivu! Aaaghrrrrrr!

Nimechoka mie bora nijiendee zangu Chit Chat au Jamii Photos nikapoteze mawazo!
 
Last edited by a moderator:
sasa hapo ni kashfa muundo wa maternity uliutengeneza wewe? acha kashfa na kuvaaa fupi ni mapendekezo ya mtu na si waislam wengi acha unafiki wewe mtoto:mad:

Mimi nimelezea muundo wa vazi, kashifa iko wapi? Kwani vazi la ternity ni kashifa? potezea usituletee jaziba zako humu.
 
Nilisema ,n nasema na nitasema,Kikwete ni Raisi mbaya sana aliyewahi kutokea kwenye nchi hii kwa miaka saba tu tangu aingie madarakani amevuruga kila kitu kwenye nchi yetu linaloniudhi na kunifanya nimchukie sana mpaka siku nitakayo kufa ni hili la kugawa nchi vipande vipande kugawa wananchi vipande vipande ameingia mpaka chama chake amekigawa vipande vipande huyu ni PEPO LA KISHETANI potelea mbali mods mukiniban tulishazoea lakini ukweli usemwe kama jukwaa hili linavyotuasa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom