Raha ya Ubazazi/Cheating!... (?)

mimi naona hilo linaukweli kabisa, ikiwa mwanzo wa uhusiano wenu mlikuwa wawazi haswa kwenye simu, mwenza wako alikuwa na uhuru wa kupokea simu zako na kusoma msg lakini baadae anakuwa mkali pindi utakapokushika simu yake basi ujue kuna kitu hapo.
lakini hili lipo kwa pande zote yaani kwa msichana na mvulana.
 
wengine wana style ya peke ... kama ni mwanamke na ana namba zake za siri anazisave na jina la mwanamke and vice versa ... unaweza usimgundue hapo kwa hapo kama mtu mwenyewe hatumi sms .. ndo kabisa ... mume wala mke hashtuki haraka

ila za mwizi arubaini ... simo!!!!
 
Ukianza kutafuta ugomvi, au ushari, katika ndoa huwezi kukosa sababu hata siku moja. hivyo, hiyo formula hapo juu ni formula hai ya kutafuta ugomvi usio na mwisho!!! kwi kwi kwi!!
Kwa haraka mwanaume aliye siriasi kuiba, na hataki ndoa ivunjike huwezi kumkamata, ukiona umemshika ujue amekudharau na anataka uhusiano uishe.
njia kubwa ya kuiba ni kuzidisha yale mambo unayoyapenda, mfano anajua unapenda kutoka ijumaa, basi hatakosa kukupeleka hata siku moja, na mazawadi kibao.
Outing zake binafsi zitakuwa saa ambazo wewe uko bize na shughuli na humuhitaji kabisa, kama jumamosi asubuhi, au alhamisi mchana.

Anyway kumchunguza bata utaishia kutomla!!!
 
Ukianza kutafuta ugomvi, au ushari, katika ndoa huwezi kukosa sababu hata siku moja. hivyo, hiyo formula hapo juu ni formula hai ya kutafuta ugomvi usio na mwisho!!! kwi kwi kwi!!
Kwa haraka mwanaume aliye siriasi kuiba, na hataki ndoa ivunjike huwezi kumkamata, ukiona umemshika ujue amekudharau na anataka uhusiano uishe.
njia kubwa ya kuiba ni kuzidisha yale mambo unayoyapenda, mfano anajua unapenda kutoka ijumaa, basi hatakosa kukupeleka hata siku moja, na mazawadi kibao.
Outing zake binafsi zitakuwa saa ambazo wewe uko bize na shughuli na humuhitaji kabisa, kama jumamosi asubuhi, au alhamisi mchana.

Anyway kumchunguza bata utaishia kutomla!!!


..hiyo siku ikoje? au i'm missing some!
 
ivi mtu ukiona dalili zote izo si ujue basi unakasoro rekebisha then those signs will disappear!!
 
Revived Interest in Appearance: If your partner suddenly undergoes a makeover of sorts, in which he spends much more time on his appearance, it could mean that he is trying to impress someone new. If he all of the sudden ditches his old khakis and sweats for something more stylish, it might be because he is trying to look his best for a new woman.


Missing in Action: If there are large periods in which your partner is absent and unaccounted for, it could be because there are mischievous motives behind his AWOL behavior. Whether it is a run to the corner store that takes over an hour, or whether he is constantly "working late," a missing husband could mean something sinister.


Mysterious Texts or Phone Calls: If you notice mysterious texts or phone calls on your phone bill, or if your husband tries to hide the phone bill or his cell phone from you, it might mean that there is a new love interest in the rafters. Additionally, if he spends more time on the computer, or tries to hide the screen he was looking at when you walk in the room, this is a good indicator that he might be philandering via the worldwide web.

Of course, the best way to discover what your partner is up to behind your back is to communicate openly and honestly with him. Share your fears regarding his fidelity and try to discuss the matter before you go crazy with worry. Remember, things are not always as they seem!

Sasa hawa wanaochunguza sababu za kucheat ndio wanaojinyonga hawa au kupiga wenziwao risasi mia tatu, kwa nini usiangalie mazuri yanayozidi kila siku katika relation yako,kujitia presha bure ratiba zenyewe za kibongo bongo feki,unaweza kumwambia mtu utafika nyumbani early halafu ukakumbana na bonge la foleni on your way back, and it happens several times, utaanza ooh missing in action.anacheat huyu,mara ya tatu hii atakua anapitia kwenye kakibanda huyu.
 
hizi simu za mkononi ndio shetani kabisa,,,, cheating sasa imekuwa hi-tech, mara alikuwa hazimi simu mkiwa pamoja, sasa inazimwa au kuwekwa vibrate/silent mode..... shetani kabisaaaaaaaaa.........
 
wengine wana style ya peke ... kama ni mwanamke na ana namba zake za siri anazisave na jina la mwanamke and vice versa ... unaweza usimgundue hapo kwa hapo kama mtu mwenyewe hatumi sms .. ndo kabisa ... mume wala mke hashtuki haraka

ila za mwizi arubaini ... simo!!!!

Pamoja na reply zako nzuri,lakini signature yako mamaaa,inanimaliza kichizi.it seems you are a good thinking girl,keep it up
 
Hivi labda unamchunguza hivo mumeo kwanini mtu ajiulize. Mimi nahisi ni uoga. Uoga wa nini wa kumpoteza kwa sababu hujiamini. Lakini unapokuwa unajiamini then hamna hata haja ya kujali kuwa anacheat. Na siku zote yale tusiyoyapenda lakini tunayafikiria sana ndio hayo huwa yanatokea kwani tunayajengea mazingira " mawazo huumba"
 
wengine wana style ya peke ... kama ni mwanamke na ana namba zake za siri anazisave na jina la mwanamke and vice versa ... unaweza usimgundue hapo kwa hapo kama mtu mwenyewe hatumi sms .. ndo kabisa ... mume wala mke hashtuki haraka

ila za mwizi arubaini ... simo!!!!

...amazing!!!

yes!!! namimi nimeligundua hilo! ...ama kwa hakika mwanamke yupo hatua moja mbele.

Muhimu kuacha tu kuchunguza simu ya mkeo/mumeo, utakuja pata presha bure,...'Kunguru hafugiki!, ...unapekua pekua simu ya mkeo unakuta contact names za ajabu ajabu, ukiuliza unaambiwa namba ya msusi, wifi yake shoga, ...

...Lakini ukutwe nayo wewe hapo namba ya kinyozi, utaulizwa kunyoa pia kwa appointment?, na atang'ang'ania mpaka ai beep!!!
!
 
Hivi labda unamchunguza hivo mumeo kwanini mtu ajiulize. Mimi nahisi ni uoga. Uoga wa nini wa kumpoteza kwa sababu hujiamini. Lakini unapokuwa unajiamini then hamna hata haja ya kujali kuwa anacheat. Na siku zote yale tusiyoyapenda lakini tunayafikiria sana ndio hayo huwa yanatokea kwani tunayajengea mazingira " mawazo huumba"

ni matokeo ya mmomonyoko wa maadili ukijumlisha na maendeleo ya tekinolojia Vs kizazi kipya.

...hata kwenye basi wameandika "Abiria Chunga mzigo wako!", ukiibiwa kwa 'kutosoma alama za nyakati' utamlaumu nani?!

Mfumuko wa magonjwa ya UKIMWI, watoto wanaozaliwa nje ya ndoa, Matukio ya kukamatwa ugoni baina ya wenye ndoa na kuvunjika kwa ndoa nyingi ndio haswa taswira tulipotoka, tulipo na tunapoelekea.
 
mimi kwa upande wangu naamini kwamba kama mwanaume wangu anataka nje na hana mapenzi kwangu mimi nakuruhusu uende na nitamuomba asirudi na wala sita gombana na yeye.sababu magonjwa mengi.mimi nisingependa nimpe partner wangu gonjwa lolote na yeye afanye hivyo hivyo.kuna wanawake wengine kujishikisha mimba thinking mwanaume atakaa naye.wakina dada wenzangu eee mwanaume kama hakupendi ni hakupendi maana wewe ndiyo utakayeteseka anajiendea zake huko nje bila wasiwasi
 
It depends, wengine ni tamaa tuu, wengine ni sababu ya wake au waume zao wanakero kupita kiasi,thats why someone ana decide to cheat.
 
It depends, wengine ni tamaa tuu, wengine ni sababu ya wake au waume zao wanakero kupita kiasi,thats why someone ana decide to cheat.

kwa kusema kweli haya mambo huletwa na frustrations anazokupa mwenzi wako. We are all human beings and we have feelings, huwezi kuona mwenzi wako akikufanyia hivyo na wewe uache kufanya pia. Kidole juu "Raha jipe mwenye" kama huna akupaye babu weeeeee!
 
You don't need lipstick on a collar to know your man is the two-timing type. Here, a simple test that'll reveal his philandering potential.

When you're dating a guy, you can forgive him for some indiscretions, but it's nearly impossible to turn the other cheek if he strays. Well,
Cosmo did some investigating to ascertain the traits that may make men more likely to cheat, and some of our findings were surprising eye-openers.

But before you freak, realize that just because he possesses characteristics of a mangy scoundrel doesn't mean he's actually cheating on you. "You have to listen to your gut as well as read the clues," says Gary Aumiller, Ph.D., a psychologist and coauthor of "Red Flags! How to Know When You're Dating a Loser." Run through this list of wandering-eye warning signs to see if your partner is predisposed to prowl... and find out how you can deal.



Cheat Predictor #1
Was he spoiled as a kid?
Do his parents tend to baby him and help him out of financial jams?
Has he ever bragged about cheating on an exam or paying someone to write a paper for him in college?

If your man seems to have sailed through life without ever hitting the rough waters that rock the rest of us, beware. Privileged chaps tend to suffer from a sense of entitlement (read: bratty-boy syndrome), so he may believe that the rules don't apply to him. He's so used to getting what he wants, why should he stop now?

"He might cheat because he thinks he deserves to fulfill all of his needs, no matter who he might hurt," says Shirley Glass, Ph.D., a psychologist, infidelity expert and author of the forthcoming "Not Just Friends: Protecting Your Relationship from Infidelity and Healing from the Trauma of Betrayal." "He probably has little concept of how upset you would be if you found out because he's too self-centered to think about your feelings."

So how do you know if your have-it-all hunk has other women on his wish list? Glass suggests paying attention to how he copes when he's confronted with any bad behavior on his part. Does he regret getting caught forwarding your racy emails to his friends but feel no guilt for doing it in the first place? Does he blame others when he screws up rather than take responsibility himself? If he can't see how his actions affect others, he's not likely to say, "Whoa, what about my girlfriend?" when temptation strikes.


Dating Factor: His Career
Cheat Predictor #2
Does he work mostly with women?
Is he always logging in late hours, whether it be at the office, at dinner with clients or on business trips?
Does he make a lot of money?
It's great to date a guy with ambition -- and his deep pockets definitely don't hurt when he brings you pricey baubles -- but the office environment can open the door to private meetings of the carnal kind. According to Glass, studies show that when men cheat, it's most often with a work colleague. "Not only are people with similar interests side by side on a daily basis, but the time they spend together is usually when they're most energetic and look their best."

Unfortunately, the bigger his wallet, the more likely your busy bee is to cozy up with an office buddy. According to a study conducted by Jan Halper, Ph.D., author of "Quiet Desperation: The Truth About Successful Men," top-tier guys have affairs more often than those on a lower rung, and not just because big bucks can be babe magnets. "Evolution has wired men to understand that the better they are at providing, the more appealing they are to women," says Alon Gratch, Ph.D., a psychologist and author of "If Men Could Talk." "Since testosterone is what drives men's quest for power, if a guy has achieved status, he's more likely to act on his desires." Remember that little Oval Office incident?

But before you start staking out your guy's office parking lot, realize that a career-oriented man might just be spending time working diligently. If he sounds happy that you call during the day, invites you to his office and takes you to company parties, you're most likely his one and only partner. It's when he acts more secretive about his work than a CIA agent that he's probably taking on after-hours clients.


Dating Factor: His Schmooze MO
Cheat Predictor #3
Can he talk his way out of anything (parking tickets, rolling into work late)?
Does he make an effort to charm everyone -- your coworkers, your older sister, a saleswoman?
When you go to parties, does he insist on making the rounds?

Your friends and family love him, and he always manages to keep you entertained. How could you not adore him? But according to Glass, sweet-talkers often have a deep need for approval and thrive on attention. So what's wrong with dating a really friendly fella? Well, sometimes a smooth operator's need for the spotlight can't be satisfied by one woman's ego-stroking. And if he's suave with the ladies, opportunities undoubtedly arise. "Charmers meet a lot of women and win them over easily," says Aumiller. "So even if his intentions aren't more than friendship, they might be willing to move beyond friendship, and that's hard to resist."

To determine if your charmer might become a two-timer, watch how he interacts with you in social settings. A guy who wants to play with other partners may brush you off when chatting with a new female friend or get noticeably more uncomfortable with PDAs when other women are around. "He should act like a boyfriend, giving you side glances when he's talking with someone else, for example, or making sure he spends at least part of the night partying with you," says Gratch. But it also wouldn't hurt to remind him how attention-worthy you are. When he chats up a chick in the corner, flirt with a few guys yourself. Once he sees that you have your own game going on, he'll focus back on you.


Dating Factor: His Friends
Cheat Predictor #4
Does he usually hang out with a crew of mostly single guys?
Do his friends encourage him to join them in just-for-men activities?
Do his pals have problems staying in relationships?
The nightclubs, the bachelor parties, the dudes-only deeds we're better off not knowing the details of -- it's enough to make any woman worry just a wee bit. Although boys-will-be-boys, bonding time helps a committed man feel less, well, trapped, the appeals of bachelorhood may make him long to be a free agent. A recent study of 37,000 men and women showed that when guys see those around them splitting from their significant others, it tends to encourage them to do the same.

You want to believe that his buddies would have enough sense to stop your guy from canoodling with some cute club-hopper, but they won't always be on your side. According to Aumiller, "If a coupled-up guy's friends are all looking to get lucky, they may not only tease him about being tied down but also actually dare him to cheat. At the very least, they'll cover for him."
Still, there's no need to ban him from hanging out with the bachelors if he's able to strike the right balance between his buddies and you. "He should include you sometimes when he meets up with friends," says Glass. Although your fella's frat pack might seem like the enemy, chumming it up with the guys (fake fondness if you have to) can do wonders for your relationship. Once you've earned their respect, they're much less likely to push your partner into prowlin

more tips:
Advice & Tips
 
Stupid generalization tailored for easy fix looking Americans.So I was spoiled as a child and hang with my single friends, does that make me a cheater?
 
If only we could get rid of our possessive instincts, the concept of cheating will be history for once because it wouldnt matter who u sleep with really.

We are not inherently built for one relationship, yet we spend all our lives being to tought to pretend to be built as such and to live as such.
 
Hayo mambo ya wazungu, tropical africa is too hot tunaungua sana na jua ndio maana tuko weusi ila damu yetu pia ni damu moto. Mimi kabila Msukuma mmoja- huwa hatoshi hata iweje. Sio cheating ni drive ndio kubwa. Babu zetu wale chapa originali, ugali asubuhi, bangi jadi anakuwa na nguvu za ajabu ni-hakuna kulala usiku kucha siku saba kwa wiki, wiki- zote 52 kwa mwaka mtu mmoja angeweza? Ndio maana walikuwa na hata wake 20 au kumi japo pia naelewa walikuwa wanasaidiwa pia.

Mambo yaa mke mmoja wakayaleta wamisionari wazungu na damu baridi zao. Kwa wasukuma sio siri tumeshindwa!, wachache waliofanikiwa kutulia kabisa ni ama wametulizwa ama wamebarikiwa kutokana na kushika dini sana.

Kama umeolewa na Msukuma ana bahati sana maana ndio kabila mabingwa wa kupenda ila pia ujue faulo kibao. Wake zetu msiwe na wasiwasi zama hizi za ukimwi tunazitambua na tunajitahidi sana kuzoea kula ndizi na ganda lake bila kumenya.
 
je utamjuaje mwanamume anaetoka nje ya ndoa au mwananume mwenye vimada nje.

sidhani kama itasaidia sana mwana mama/baba kumfuatilia mwenzi wake kujua kama anatoka nje ya ndoa au la. ni bora kuamini siku zote kwamba mwenzi wako hatoki nje ya ndoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom