Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,599
Babu DC umesema kweli
unamkuta mtu analia anajigaragaza mpaka anatia huruma
kumbe kichwani anajua anacholilia
We acha tu,
Huu ungonjwa wetu wa siku hizi umezua kizazaa,
Naamini jamaa alitaka kutangaza msiba wa rafiki yake ila network imeswitch ghafla na kuhamia kwenye mtandao mwingine...
Vyovyote vile...tumwombee marehemu apumzike kwa amani ila na sie watarajiwa tusubiri zamu yetu!!