Rafiki yangu amekufa kwa ukimwi

Babu DC umesema kweli
unamkuta mtu analia anajigaragaza mpaka anatia huruma
kumbe kichwani anajua anacholilia

We acha tu,

Huu ungonjwa wetu wa siku hizi umezua kizazaa,
Naamini jamaa alitaka kutangaza msiba wa rafiki yake ila network imeswitch ghafla na kuhamia kwenye mtandao mwingine...

Vyovyote vile...tumwombee marehemu apumzike kwa amani ila na sie watarajiwa tusubiri zamu yetu!!
 
Mi siwezi kufa kwa ukimwi kwasababu nazingatia masharti ya kujikinga.
 
Kwenye wasifu wa marehemu wekeni wazi kwamba ngwengwe ndio imemuua,ili vijana wetu wajue kwamba UKIMWI upo na unakill.

sijawahi hudhuria mazishi nikasikia kwenye wasifu
wa marehemu wamesima alikufa kwa hiyo kitu
utasikia aliugua ghafla kama kwenye mada
au alikuwa na upungufu wa damu na mengineyo
kwamwe hutasikia ukimwi
ukweli unawekwa kando kinachobaki ni
maneno ya mtaani
 
nina huzuni sana kwa kuwa tulikuwa wote siku chache zilizopita lakini akaugua ghafla na akashindwa kabisa kumeza dawa na chakula,hospital wamesema ni ukimwi,nilie au nifanye nini mimi maskini,,,uuuuuuuuuuuuuuuuwi tutapona kweli????

Kwani umesikia hakuna uponyaji,dawa ni kumcha Mungu na kufuata magazizo yake.
 
sijawahi hudhuria mazishi nikasikia kwenye wasifu
wa marehemu wamesima alikufa kwa hiyo kitu
utasikia aliugua ghafla kama kwenye mada
au alikuwa na upungufu wa damu na mengineyo
kwamwe hutasikia ukimwi
ukweli unawekwa kando kinachobaki ni
maneno ya mtaani

Na ndio maana tunamshangaa huyu mshikaji anayetangaza msiba wa mtu anayemwita eti ni rafiki yake na wakati huo kutueleza kuwa kafa kwa ukimwi....Hili siyo la kawaida na mshikaji lazima network haiko mahali pake au kuna msg zaidi alitaka kutupa!!
 
We acha tu,

Huu ungonjwa wetu wa siku hizi umezua kizazaa,
Naamini jamaa alitaka kutangaza msiba wa rafiki yake ila network imeswitch ghafla na kuhamia kwenye mtandao mwingine...

Vyovyote vile...tumwombee marehemu apumzike kwa amani ila na sie watarajiwa tusubiri zamu yetu!!

AMINA
Babu DC aliyekufa amekufa
tuliobaki tunapewa nafasi ya kubadili tabia
na kujifunza baada ya kuona mwenzako/rafiki amekutoka
katika hali hiyo
 
Na ndio maana tunamshangaa huyu mshikaji anayetangaza msiba wa mtu anayemwita eti ni rafiki yake na wakati huo kutueleza kuwa kafa kwa ukimwi....Hili siyo la kawaida na mshikaji lazima network haiko mahali pake au kuna msg zaidi alitaka kutupa!!

nashawishika kuamini hivyo......au ndio kuchanganyikiwa kwa ule urafiki wa karibu.....pengine anataka kuelemisha jamii kutoa taarifa sahihi msiba unapotokea
 
AMINA
Babu DC aliyekufa amekufa
tuliobaki tunapewa nafasi ya kubadili tabia
na kujifunza baada ya kuona mwenzako/rafiki amekutoka
katika hali hiyo

Only if it is possible,

Kuna wengine anakuacha by an inch!!

Ndo maana siku hizi tunalia sana kwenye misiba ya kisasa!!
 
Mi siwezi kufa kwa ukimwi kwasababu nazingatia masharti ya kujikinga.
Mungu apishilie mbali...hata kama unazingatia masharti kwenye ajali nyingi zinazotokea watu mnaweza kuambukizana kutokana na majeraha mliyopata...!
 
Nasikia kwenye sexual intercourse knachosababisha maambukizi ni michubuko..kwahiyo ukila kavu ukakojoa haraka kabla hujachubuka umepona! ila ukijifanya fundi ukasugua sana ndio mwanzo wa kupata ngoma!
 
Kwenye wasifu wa marehemu wekeni wazi kwamba ngwengwe ndio imemuua,ili vijana wetu wajue kwamba UKIMWI upo na unakill.

Umenikumbusha mbali sana wilaya moja Tanga jamaa alikufa kwa ngoma na akaandaa list ila zilitumika busara haikusomwa kama alivyokuwa ameomba ila ilitangazwa kuwa alikufa kwa Ngoma msibani! Baba Askofu (wa kilutheri) ndio aliitwa home na akaelezwa na mshkaji kila kitu kisha jamaa akatubishwa na kalala kwa amani huku akiacha list ndefu! Hadi leo wanaisha
 
Mkubwa inaonekana ulishea nae ndo maana full hofu,jamani kiukweli matumizi ya condom yako chini sana now.
Watu tunaangamia,na sina uhakika sana kama takwimu za ukimwi Tz hazina harufu ya mchakachuo.
 
Nasikia kwenye sexual intercourse knachosababisha maambukizi ni michubuko..kwahiyo ukila kavu ukakojoa haraka kabla hujachubuka umepona! ila ukijifanya fundi ukasugua sana ndio mwanzo wa kupata ngoma!

Mkubwa hii staili yako inawalakini,japo jacob Zuma aliitumia kwenye ili kesi yake ya kubaka,nafikiri kutumia condom kwa usahihi kunaweza kuwa suluhisho letu.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom