Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,917
- 24,674
Kwanza niko na hofu kuu kwa sababu kuna bi mdashi flani nilimtafuna mwaka huu bila kujua chochote, bi mdashi mweupe pee tako ndio lililoniponza.
Nilipata taarifa zake za ndani kwamba tayari kaukwaa kupitia kwa dada yake ambae nae ni bi mdashi alijilengesha kwangu bila kujua kwamba nilishamtafuna mdogo wake,
Siku tukiwa faragha ndio kumuuliza uliza akaniambia huyo mdogo wake tayari ameadhirika na anatumia vidonge,na yeye ndio mtu wake wa karibu anaemsindikiza na wakati mwingine kwenda kumchukulia dawa,
Moyo ulipiga paa nilivyosikia lakini nilipiga moyo konde nikapiga na kusepa.
Hivyo kama mdogo wake alinipa ukimwi basi ukimwi huo nimeuzungusha na kumpa dada yake kipenzi kama mi sikuupata basi ni kwa neema,
Ya pili kuna huyu demu katoka dar kuja dom kumbe muuzaji, mi kufika tu dom nikampokea tena kwa mapenzi mazito, licha ya kuwa anauza lakini hakuwai kuniomba ata mia, nimekuja kugundua ni too late, rafiki yake ndiye aliyeniambia kwamba ameungua ana miwaya,nikapiga chini.
,
Sijakoma tu nikapata demu mwingine wa makamo tu pisi kali hao masister do, nimechakata wee ata sielewi siku nipo mtaani na masela ndio nikaambiwa huyo demu tayari ana miwaya, na mshikaji wake wa kwanza tayari ameshasepa,
Ukitoa huyo kuna mademu wengine kama wanne hivi na wenyewe nimepita nao ata siwaamini amini, kwa sababu mwingine nilikuta dawa kabisa zimeandikwa zidovudine, nilivyomuuliza ni za nini akaniambia ni za anko wake ana shida ya kifua kikuu aiseee.
Serious mi zero niko salama kweli jamani
Nafikiria kuhusu hiki kiwanda changu cha kuchakata chipsi kuwa viazi kama nitakuwa nimeukwaa kitaendelea kufanya kazi yake kwa ufanisi?
Nina mawazo lakini naogopa kupima.
Cc Zero IQ