Rafiki yangu amekufa kwa ukimwi

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
nina huzuni sana kwa kuwa tulikuwa wote siku chache zilizopita lakini akaugua ghafla na akashindwa kabisa kumeza dawa na chakula,hospital wamesema ni ukimwi,nilie au nifanye nini mimi maskini,,,uuuuuuuuuuuuuuuuwi tutapona kweli????
 
pole sana. Kwa nini tusipone baada ya rafiki yako kufa?
 
sasa sisi tusiopenda kupima itakuwaje,yaani mambo ni ovyo ovyo sijui tufanyeje sasa
Kwani kupima ndio kupona? Hapa dawa ni kuacha kugonga kavu na ovyo ovyo, kuwa mwaminifu na hata huyo ulienae TUMIA CONDOM wala usimwamini ng'o km vp subiri ndoa.
 
nina huzuni sana kwa kuwa tulikuwa wote siku chache zilizopita lakini akaugua ghafla na akashindwa kabisa kumeza dawa na chakula,hospital wamesema ni ukimwi,nilie au nifanye nini mimi maskini,,,uuuuuuuuuuuuuuuuwi tutapona kweli????

Mi Kama vile sijakuelewa!! Huzuni kwa kuwa umefiwa na rafiki yako au kwa kuwa umesikia kafa kwa ukimwi au kwa kuwa hujui Kama mliobakia mtapona? Mi sijaona mantiki Ni ipi hasa hasa ukizingatia kwa sasa ukimwi umeshabisha hodi kwa kila familia ya mtanzania.
 
sasa sisi tusiopenda kupima itakuwaje,yaani mambo ni ovyo ovyo sijui tufanyeje sasa

usiwe na wasiwasi kama hujachangia naye demu na nyendo zako ni safi. Vipi kama utaambukizwa wakati umeenda kupima au ukapewa majibu mbayo si yako.
 
hivi inawezekana ukapewa majibu yasiyo sahihi???????unaniogopesha sana,
 
Mi Kama vile sijakuelewa!! Huzuni kwa kuwa umefiwa na rafiki yako au kwa kuwa umesikia kafa kwa ukimwi au kwa kuwa hujui Kama mliobakia mtapona? Mi sijaona mantiki Ni ipi hasa hasa ukizingatia kwa sasa ukimwi umeshabisha hodi kwa kila familia ya mtanzania.

Mie nimeona kama anaomboleza msiba ambao ni tofauti na ule aliotaka kutujulisha.......!!

Hii imenikumbusha mbali sana...."si wote wanaolia kwenye misiba ya kisasa anamlilia marehemu"!!
 
pole kwa msiba
unatakiwa kujichunguza mwenendo wako uko vipi
kama waona utakuletea madhara badili tabia
 
nina huzuni sana kwa kuwa tulikuwa wote siku chache zilizopita lakini akaugua ghafla na akashindwa kabisa kumeza dawa na chakula,hospital wamesema ni ukimwi,nilie au nifanye nini mimi maskini,,,uuuuuuuuuuuuuuuuwi tutapona kweli????

angekuwa rafiki yako kweli angekuficha ugonjwa wake?
 
nina huzuni sana kwa kuwa tulikuwa wote siku chache zilizopita lakini akaugua ghafla na akashindwa kabisa kumeza dawa na chakula,hospital wamesema ni ukimwi,nilie au nifanye nini mimi maskini,,,uuuuuuuuuuuuuuuuwi tutapona kweli????

Hapo kwenye RED: Akaugua ghafla!!! Very unusual indeed!
 
Kwenye wasifu wa marehemu wekeni wazi kwamba ngwengwe ndio imemuua,ili vijana wetu wajue kwamba UKIMWI upo na unakill.
 
Back
Top Bottom