Rafiki yangu amekufa kwa ukimwi

nina huzuni sana kwa kuwa tulikuwa wote siku chache zilizopita lakini akaugua ghafla na akashindwa kabisa kumeza dawa na chakula,hospital wamesema ni ukimwi,nilie au nifanye nini mimi maskini,,,uuuuuuuuuuuuuuuuwi tutapona kweli????

kule kilimanjaro wanasemaga, chamecha mae, kocha saa!
 
Asprin na black women nataka niwashtaki kwa mods mmefanya hii sread kama kijiwe chenu
 
nina huzuni sana kwa kuwa tulikuwa wote siku chache zilizopita lakini akaugua ghafla na akashindwa kabisa kumeza dawa na chakula,hospital wamesema ni ukimwi,nilie au nifanye nini mimi maskini,,,uuuuuuuuuuuuuuuuwi tutapona kweli????

Pole sana mkuu!
 
-no solution except dying- chukua bible uanze kutoa unabii na uwe pastor, c ndo zenu!
 
Je, kwann watu walionao-kama wewe- wanapenda kuusambaza makusudi??
 
Pole sana.Vilevile,kuwa makini,njia alizopita zisijekuwa ndizo ambazo unazipitia wewe sasa...
 
Back
Top Bottom