Quote From: The President Dr. Jakaya M. Kikwete!

- Kwani CAG imekuwepo kwa muda gani? Maaana hii ni mara yangu ya pili kuisikia, mara yangu ya kwanza ilikuwa Dr. Kikwete aliposhika utawala mambo ya mabalozi walioiba, wengine wakafikishwa kwenye Sheria na wengine walilazimishwa ku-retire na kulipa walizoiba.

- Hii ni mara ya pili nawasikia tena CAG, naomba kukuuliza walianza lini hawa CAG? Mbona huko nyuma kwenye awamu zingine hatukuwahi kuwasikia?

William.
CAG ilikuwepo awamu zote lakini kumbuka kamati hizi za bunge ambazo zina wapinzani ndani yake zinasaidia sana kuibua uozo ambao kwasasa CAG akiucha hizi kamati zitaunasa tu hivyo zimemfanya CAG kaongeza makali ingawaje pia JK kaisapoti sana office hii kwa kuiongezea wataalamu na burget ila sasa ikibaini uoza yeye hachukui hatua au akichukua anachukua nusunusu hapa ndio msingi wa tatizo ulipo maana taarifa zipo wazi tu.
 
Yaani badala ya kuchukua hatua stahiki Jk anasema amefurahishwa na sisi tunashangilia?kama amefurahi so what?,kwa rais mwenye madaraka makubwa kama Rais wa Tanzania,hili sio swala la yeye Rais kufurahishwa bali ni swala la kuchukua hatua,yaani mabilioni ya fedha yanatafunwa kifisadi,rais anakuja na sentensi ya ajabu kama hii....

- Mnyonge mnyongeni baba, one step kwanza mimi nilidhani hawa CAG wameanza kwenye Awamu yake tu, kumbe mnasema walikuwepo siku zote, duh!


- Mkuu Rome haikujengwa siku moja!

William.
 
"Nimefurahishwa na mjadala wa uwazi ulioendelea Bungeni na kwenye kamati ya wabunge wa CCM; nafurahi kwamba azma yangu ya kuzifanya taarifa za mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali ziwe zinafanyiwa kazi imeanza kutimia" Mhe. Jakaya M. Kikwete

Wengine humu hawachelewi kukuambia unaanza kujikomba kwa JK ili akupe Ubunge wa Kuteuliwa na hatimae Uwaziri....JF hii, kunya anye kuku, bata kaharisha!
 
i AM NOT OPTIMISTIC...

HE HAS ALREADY MADE SIMILAR PROMISES BEFORE
 
Wengine humu hawachelewi kukuambia unaanza kujikomba kwa JK ili akupe Ubunge wa Kuteuliwa na hatimae Uwaziri....JF hii, kunya anye kuku, bata kaharisha!

- Nimesema mara nyingi sana kwamba siasa ni kama biashara ya utumbo, huwezi kuifanya huku unaogopa harufu, I mean unajua how long nimekuwepo hapa JF, huwa yanakuja na kupita ila ukweli unasimama mpaka mwisho,

- Kwamba Dr. Jakaya M. Kikwete, huenda ni the best kuliko wote waliopita, I have said that before na ninasema tena now!, unaposema kiongozi mmoja hafai unamlinganisha na wanaofaa, ndio maana ninasema anawazidi wote waliopita! Na mfano mdogo ni hii CAG, mnasema imekuwepo toka Awamu ya kwanza, mna maana toka enzi zile tunanunua Mandege mabovu ya ATC, Gapex, BOT, mnasema CAG walikuwepo?

William.
 
- Una maana:

Mutuz Le Baharia the Big Shooooow!@New York City;USA.; ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha!

William.
The Following User Says Thank You Mutuz Le Baharia the Big Shooooow!@New York City;USA For This Useful Post.

Litvinienko
(Today)
 
Bravo JK wewe ni jeshi la mtu mmoja,watanzania wote tunakubali kazi yako nzuri kwa taifa.

With all the respect, I beg to differ with you. What are the consequences of those ministers/officers in question? Also remember Chenge and EL? What happened to them? Is it bcoz he was involved too? Lets be real here.
 
Wengine humu hawachelewi kukuambia unaanza kujikomba kwa JK ili akupe Ubunge wa Kuteuliwa na hatimae Uwaziri....JF hii, kunya anye kuku, bata kaharisha!

Vipi ile taarifa ya CAG (Mhilu) ya mwaka 2009 kabla ya hajawa rais. Je, wahusika wa wizara ya ya Mambo ya nje ambayo ni kati ya wizara zilizoongoza kwa kutafuna. alikasirika.
 
i AM NOT OPTIMISTIC...

HE HAS ALREADY MADE SIMILAR PROMISES BEFORE

Do not spoil what you have by desiring what you have not, remember that what you now have was once among the things you only hoped for.
 
Back
Top Bottom