Quote From: The President Dr. Jakaya M. Kikwete!

Kwa hiyo tunamsifia kwa kutumia miaka saba kuweka ripoti ya CAG hadharani? Na hii ni performance indicator ya Rais? Kuweka ripoti ya CAG hadharani??? C'mon guys, we can do better than this! To me this is tooooooooooooo low a bar for a presedential performance indicator.

- Tunakubaliana na mawazo yake kwenye quote, kwamba ilikuwa nia yake siku moja CAG kujadiliwa na the public, na kuwajibisha Serikali, hayo mengine hakusema!
 
Sikufananisha nani "better" kuliko mwenzake. Ninachosema ni kuwa sidhani kama kuweka hadharani ripoti ya CAG ni perfomance indicator against which we can measure the President's achievements. Kwangu mimi nitapima utendaji wa Rais katika kuchukua hatua dhidi ya wezi na sio katika kushabikia wezi kutajwa hadharani. Kwangu mimi huo ni upuuzi tu!

- Unapima uwezo wa Rais wa sasa kulinganisha na wengine kabla yake, unapata jawabu kwamba Dr. JK ni afadhali sana kwa sababu policy zake zinawajumuisha wananchi kwenye maamuzi magumu, kwanza ilikuwa Richmond, ikawa EPA, ikaja Buzwagi, na sasa CAG!

- Na hasa la posho za wabunge!

William.
 
Sikufananisha nani "better" kuliko mwenzake. Ninachosema ni kuwa sidhani kama kuweka hadharani ripoti ya CAG ni perfomance indicator against which we can measure the President's achievements. Kwangu mimi nitapima utendaji wa Rais katika kuchukua hatua dhidi ya wezi na sio katika kushabikia wezi kutajwa hadharani. Kwangu mimi huo ni upuuzi tu!


Kazi ya Rais sio kuchukuwa hatua dhidi ya wezi, Rais ameweka mesures za kubaini wezi, ni kazi yako wewe na mimi kuchukuwa hatua. Kuna Polisi, kuna mahakama, kuna wabunge tuliowachaguwa.

Kinachoongelewa hapa ni jambo jema alilolifanya Kikwete. Kama wewe hulioni hilo basi inabidi nikuambie kuwa una macho lakini hayaoni, una masikio lakini hayasikii. Ulichokuwa nacho ni roho mbaya na chuki ambazo hata mema huyaoni, hiyo ni roho ya kichawi, Watu kama wewe huwa hamna maendeleao hata kidogo, kwani hamuoni jema, nyinyi kila siku atendae jema mnaunguwa katika nyoyo zenu. Jee, kawakosa nini huyu "chaguo la Mungu"?
 
Mkuu ni JK anatisha sana, majambazi na wezi wanamuogopa sana.

Ila naona tatizo anafight alone maana huku kwenye maidara kuna mchwa
Uwazi wake unaanzia wapi? ndiye aliyeagiza ripoti ipelekwe bungeni? ndiye aliyeagiza wale jamaa wa epa wale warudishe kwa kificho? Labda cjaelewa
 
Back
Top Bottom