bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,370
- 24,642
Vipi Hawa mawakala wa JBL nchini vipiJBL hiko juu ila kupata og ni kazi sana. Kuna duka lipo pale airport JKIA linauza OEM ila bei siyo ya kitoto.

Hao siwafahamu. Ingia website ya JBL uone kama wanawatambua hao mawakala.Vipi Hawa mawakala wa JBL nchini vipi