Mbute na chai
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 525
- 525
Leo nimetumia headphones QC45 za bose kusikiliza wimbo fulani wa bongo, yaani, kwa jinsi zilivyo clear kwenye kila chombo cha muziki kilichotumika, nimesikia jinsi baadhi ya vipande vya wimbo huo vilivyo na mixing ambayo haina hata quantization halafu ni wimbo mkali sana! Bora tuendelee kutumia headphone za famba la sivyo hautafurahia baadhi ya nyimbo kabisa!