Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC

Hivi kumbe Rweyemamu wa ikulu ni mjumbe bodi ya TBC..basi tutegemee kifo cha TBC soon.
 
TBC imepoteza sana mvuto tangu Tido aondolewe. Lets hope kuwa prof atairudisha kwenye mstari ili kiwe chombo cha taifa badala ya propaganda za ccm.

we are expecting for the unexpected. nakushauri usihangaike kutarajia lolote kwa huyu mama usije kuugua kichwa bure
 
Christpoher Mwita Gachuma!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Dah, nazid kukata Tamaa Jaman
 
Gachuma moja ya wanaccm nambari 1 kanda ya ziwa akiwa na hisa nyingi kwenye kampuni ya coca cola mwanza na hotel ya New mwanza hotel

huyo atakua front man tu .nyanza bottle na mwanza hotel,including foma,simba plastic etc yako chini ya wahindi.SOMAIA GROUP.
 
Kwenye hiyo list ya wajumbe wa bodi, mbona namba (ii) haipo? Wamekosea kuweka namba ama kuna mjumbe wamesahau kumweka? Hii ndio Tanzania.

Hata tarehe ya Tangazo nalo, 18/10/20121 ?!?!?!?!?!?!?!?!?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Who is Gachuma?

Ni Mwita Chacha Gachuma mfanyabiashara maarufu wa kanda ya ziwa pia kada wa CCM.

Kuhusu kosa kwenye taarifa ya Ikulu ambapo namba (ii) imekosekana kusema kweli si jambo zuri hasa kosa hilo linapofanywa na ofisi kubwa kuliko zotd nchini. Hii inatukumbusha makosa mengi ambayo huko yamekuwa yakifanywa na ofisi hii huko nyuma. japo kosa halina madhara makubwa lakini inaonyesha ofisi kutokuwa makini katika shughuli zake.
 
Gachuma,ama kweli hii nchi ina wenyewe

Na jamaa is one of them.....HAhahahahahaaaa

Gachuma of all the people..

Yes... Of all people GACHUMA... Sababu ni moja tu... Jamaa ana mawe ya kufa pipo... So shida ndogondogo atamaliza......Si lazima mpaka serikali iingilie kati....Kielimu...I dont know...

Who is Gachuma?

Ni mkurya wa TARIME anaeishi Mwanza... Mmiliki wa Mwanza Hoteli na Nyanza Bottlers (watengenezaji wa Vinywaji baridi vya Cocacola). Vilevile ni mmiliki wa hoteli ya CMG iliyopo pale TARIME. Kifupi he is a among of biggest business Tycoons on Lake zone..... Kesha changia sana chama cha mapinduzi tangia enzi za bia za magendo kule SIRARI.....
 
Nimjuavyo huyu mama (Prof) hana affiliation ya kisiasa and she is confident. Hongera sana Prof.
Ni juhudi na kazi uliyofanya kuifikisha Mlimani TV and Radio ndizo zilizoku-expose kwenye orodha ya wanaostahili.

Kesha kuwa PROF??? Nilipokuwa pale Mlimani kwenye issue za Gender nilimuacha akiwa kama Dr. na mpaka anapewa Uwaziri alikua Dr. So Hongera zimfikie kwa kutunukiwa U prof.... She deserves that,,,,
 
Nadhani hiyo ndio changamoto kubwa alionayo, kuifanya kuwa ya Taifa, na kuifanya ikubalike kote kote

Jaman profesa amekuwa mwenyekiti wa bodi sio mkurugenzi mtendaji,, yeye anakuwa passive member na sio passive member sawa sawa na kina mboma walivyokuwa tanesco,, so hawez kuibadili tbc kwa chocote zaidi ya mkurugenzi mtendaji wa tbc as ye ndo active member... So yeye sio employee wa tbc... Anakuja kwenye vikao tu, wakat wa recruitment ya director nae anashiriki mchakato wa mzima,,,, so angekuwa managing director wa tbc hapo ndo tungejua uwezo wake
 
Masuala ya Habari hayapo katika mambo ya muungano. Mjumbe namba (viii) Mkurugenzi wa habari idara ya Zanzibar anateuliwaje kuwa kwenye chombo/bodi ambayo haihusiki na mambo ya Muungano?

Na wewe uwe unanyamaza, yaani ni ushauri wangu tu, kama hautaki endelea
 
Na jamaa is one of them.....HAhahahahahaaaa

Yes... Of all people GACHUMA... Sababu ni moja tu... Jamaa ana mawe ya kufa pipo... So shida ndogondogo atamaliza......Si lazima mpaka serikali iingilie kati....Kielimu...I dont know...

Ni mkurya wa TARIME anaeishi Mwanza... Mmiliki wa Mwanza Hoteli na Nyanza Bottlers (watengenezaji wa Vinywaji baridi vya Cocacola). Vilevile ni mmiliki wa hoteli ya CMG iliyopo pale TARIME. Kifupi he is a among of biggest business Tycoons on Lake zone..... Kesha changia sana chama cha mapinduzi tangia enzi za bia za magendo kule SIRARI.....

pia ni mjumbe wa NEC ccm, na alipigana kufa na kupona ili Makongoro Nyerere ashindwe uenyekiti wa ccm Mara, halafu "nasikia" hafahamu kiingereza lazima kuwe na mkarimali/mkarimani (mtafsiri wa lugha hata ya kiswahili), Tumuombee alifikishe hili gurudumu
 
Its all about Benjaminz
 
Namfahamu Prof. Possi kama ni mama mwadilifu na mwenye heshima kwa watu wa rika zote na mchapa kazi sana. Kwa kuzingatia hilo, naamini kwamba atakuwa ni agent mhimu wa mabadiliko ya TBC, maana kwa hivi sasa TBC ni kama shirika la utangazaji la CCM. So ni wakati mzuri wa kulifanya liwe la taifa badala ya kuendelea kuwa la chama.

Mkuu kama kweli unaimani na hapo kwenye RED, basi sahau manake hayo mabadiliko uyadhaniayo si mkakati wa TBC. Kumbuka yaliyojiri wakati wa Tido Mhando!

Tatizo letu hapa Tz ni kuwa na watawala wengi wasijua dunia ya sasa iko wapi, wengi bado wanadhani taasisi kama TBC ni kwa ajili ya masilahi ya watawala badala ya maslahi ya umma.

Jaman profesa amekuwa mwenyekiti wa bodi sio mkurugenzi mtendaji,, yeye anakuwa passive member na sio passive member sawa sawa na kina mboma walivyokuwa tanesco,, so hawez kuibadili tbc kwa chocote zaidi ya mkurugenzi mtendaji wa tbc as ye ndo active member... So yeye sio employee wa tbc... Anakuja kwenye vikao tu, wakat wa recruitment ya director nae anashiriki mchakato wa mzima,,,, so angekuwa managing director wa tbc hapo ndo tungejua uwezo wake
Mkuu MD anareport kwa nani? MD anaweza fanya amabadiliko bila Bodi?
 
Back
Top Bottom