Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC

POMPO

naamini unampongeza kwakuwa tu ni prof wako.

LAKINI huyu ni mtu bogus, mwoga haina mfano. Alikuwa SJMC kwa zaidi ya miaka sita lakini alikuwa anashindwa kutoa arguments kwa wakubwa UDSM ili kuiboresha SJMC. Walau kale ka mama kengine Dr Kilian kalisaidia kuibadili SJMC.

Prof Possi ni mzuri katika kuandika academic papers tu. Lakini katika kukaa chini kjenga hoja na kuitetea hadi kuhakikisha inakuwa implemented, huyu mama ni ZIRO>

Kama huniamini, mpe mwaka mmoja utaona kama TBCCM haitazidi kuzama na kuwaudhi watanzania. Mbaya zaidi Mkurugenzi wa hiy TBCCM mwenyewe naye BOGUS mwingine Clement Mshana.

Tuna kazi kubwa sana watanzania

haya na wewe tuambie umefanya nini ili tusikuita bogus... au tupe mtu unayetaka akae hapo... watanzania maneno meeengiiiii............
 
Mkuu Kitanga

Namjua vema huyu mama tangu akiwa TSJ, then IJMC ambayo sasa inaitwa SJMC. sasa karudishwa main campus UDSM.

She is very good IN ACADEMIC, Lakini sio kupewa nafasi kubwa kama hii tena katika shirika la umma linaloelekea kaburini. Hapa alitakiwa mtu shupavu na mpambanaji mwenye uwezo wa kusimamia maamuzi na kuhakikisha yanatekelezwa. Huyu mama HAWEZI! Amewahi kuwa mjumbe wa bodi hiyo ya TBC hadi miaka mitatu iliyopita alipotolewa.

tutajie basi mtu wako... kwani hiyo TSJ nani aliiunganisha na UDSM? si ilikua kama shule ya msingi, au?
 
Masuala ya Habari hayapo katika mambo ya muungano. Mjumbe namba (viii) Mkurugenzi wa habari idara ya Zanzibar anateuliwaje kuwa kwenye chombo/bodi ambayo haihusiki na mambo ya Muungano?

Kama yeye ni mtanzania na anafaa, hata kama yeye ni Marine Hassan aachwe tu afanye kazi. Tukianza kubehave kama wazanzibar itakuwa ajabu sana
 
Kama kuna yoyote miongoni mwetu anayedhani TBC ni chombo huru inabidi afikirie upya.
Katika orodha isyo na namba (ii) utaona namba (vi) ni mkurugenzi wa maelezo ambacho ni chombo cha serikali.
Namba(vii)kuna mkurugenzi wa maswaliano Ikulu. Huyu naye anawakilisha Ikulu na serikali hapo hapo.

Sasa sijui TBC inawezaje kufanya kazi kama chombo huru.
 
Mkuu TBC si chombo huru hata kidogo, ni chombo cha serikali na kipo kwa ajili ya kuimba nyimbo za serikali. Kimaandishi inaweza kusemwa ni chombo huru, lakini kivitendo si chombo huru. Kama apointees ni wa Rais na waziri wa habari sahau swala la kuwa huru
 
Nakubalina nawe kabisa, lakini si tunaambiwa vyombo vya habari viwe huru? na vinatakiwa vifanye 'impartiality'. Si tunaambiwa ni mhimili wa nne!

Anyway, nilikuwa nawapa memba hint hata watakaposikia habari za TBC.
 
Kesha kuwa PROF??? Nilipokuwa pale Mlimani kwenye issue za Gender nilimuacha akiwa kama Dr. na mpaka anapewa Uwaziri alikua Dr. So Hongera zimfikie kwa kutunukiwa U prof.... She deserves that,,,,

Inaelekea humfahamu Prof. Possi. Kwanza hajawahi kua waziri, pili amekua Prof. Miaka mingi iliyopita, tafuta reccords vizuri. Wakati anateuliwa kua Mkuu wa TSJ na Ben Mkapa, tayari alishakua Prof. Upo?
 
Sikua namuongelea Possi pale.... Possi alikua Gender???? Was talking about alimuweka Possi TBC!!! You Could ask who 1st b4 bumping up from whichever KANGARA u have taken!!!!
 
Sikua namuongelea Possi pale.... Possi alikua Gender???? Was talking about alimuweka Possi TBC!!! You Could ask who 1st b4 bumping up from whichever KANGARA u have taken!!!!

Well, If you thought I take any sort of alcohol or brew, you r wrong my friend... Perhaps you should attend "being polite" classes. SHAME
 
Well, If you thought I take any sort of alcohol or brew, you r wrong my friend... Perhaps you should attend "being polite" classes. SHAME

Shame on who??? me or U??? How was I suppose to be polite while u were not???? Aint operating under 3rd law of Motion.....Otherwise get back 2 ur Physics classes. SUCKER
 
Back
Top Bottom