Prof. Mwajabu Possi wa UDSM aula TBC

Mkuu,

Hilo litawezekana tu kama uteuzi wake haujafanywa na mkiti wa ccm. Si unajua achebe aliwahi kusema mkono haujawahi kupata ajali ukielekea kinywani?
Inaweza kutokea, hata Tido Mhando siku zile aliteuliwa na hao hao, lakini alipoingia mzigoni akaaamua kutekeleza majukumu yake bila kuwajali sana wao. Japo mara moja moja alikuwa anakengeuka.
 
Kwa Mama Mwajabu nadhani anastahili kabisa. Lakini kwa Gachuma kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Chuo, hapa serikali inateketeza taaluma ya chuo husika.
 
Huyo Waziri ana nia kweli ya kuinua michezo? Kwa kuangalia huo uteuzi, anatambua ni kitu gani hasa kinatakiwa ili kuinua kiwango cha michezi nchi hii?

Na huyo Dr Mariam Nchimbi ana uhusiano wowote na Waziri wa mambo ya ndani?
 
Wakuu,

Nimepata hii taarifa muda si mrefu, nawashirikisha.

attachment.php

Huyu ndassa siyo mbunge! Kama ni mbunge, mbona tuliambiwa hawa waheshimiwa hawatakiwi kuwa wajumbe wa bodi za uongozi wa mashirika ya umma kutokana na mgongano wa kimaslahi?
 
Gachuma,ama kweli hii nchi ina wenyewe

Fenella hana kosa na wala msimvae mama wa watu. hana amjuaye hapa nchini kwanza ni mgeni na mambo ya serikali. Hayo majina kapewa ayasome iwe kama kawateua yeye.
 
Huyo Waziri ana nia kweli ya kuinua michezo? Kwa kuangalia huo uteuzi, anatambua ni kitu gani hasa kinatakiwa ili kuinua kiwango cha michezi nchi hii?

Na huyo Dr Mariam Nchimbi ana uhusiano wowote na Waziri wa mambo ya ndani?

Fenella kapewa list asome tu
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Kwenye hiyo list ya wajumbe wa bodi, mbona namba (ii) haipo? Wamekosea kuweka namba ama kuna mjumbe wamesahau kumweka? Hii ndio Tanzania.

Amazing! Attention to details hakuna.
Halafu imetolewa na Habari (Maelezo).
Hivi press release kama hii huwa inapita kwa watu wangapi kabla ya kuwa released?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Wakuu,

Nimepata hii taarifa muda si mrefu, nawashirikisha.

attachment.php

HIVI WATU NJE YA SERKALI HAWAWEZI KUWA WAJUMBE WA BODI?
mfano:
Malinzi mdogo na mkubwa, Philibert Bayi, Nyambui, Mr Bocco, wadada waliobobea kwenye michezo, wastaafu wa michezo????????
 
Well done, she is my Professor, she can deliver! Hongera mama.
POMPO

naamini unampongeza kwakuwa tu ni prof wako.

LAKINI huyu ni mtu bogus, mwoga haina mfano. Alikuwa SJMC kwa zaidi ya miaka sita lakini alikuwa anashindwa kutoa arguments kwa wakubwa UDSM ili kuiboresha SJMC. Walau kale ka mama kengine Dr Kilian kalisaidia kuibadili SJMC.

Prof Possi ni mzuri katika kuandika academic papers tu. Lakini katika kukaa chini kjenga hoja na kuitetea hadi kuhakikisha inakuwa implemented, huyu mama ni ZIRO>

Kama huniamini, mpe mwaka mmoja utaona kama TBCCM haitazidi kuzama na kuwaudhi watanzania. Mbaya zaidi Mkurugenzi wa hiy TBCCM mwenyewe naye BOGUS mwingine Clement Mshana.

Tuna kazi kubwa sana watanzania
 
Last edited by a moderator:
Kwa Mama Mwajabu nadhani anastahili kabisa. Lakini kwa Gachuma kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Chuo, hapa serikali inateketeza taaluma ya chuo husika.

Mkuu Kitanga

Namjua vema huyu mama tangu akiwa TSJ, then IJMC ambayo sasa inaitwa SJMC. sasa karudishwa main campus UDSM.

She is very good IN ACADEMIC, Lakini sio kupewa nafasi kubwa kama hii tena katika shirika la umma linaloelekea kaburini. Hapa alitakiwa mtu shupavu na mpambanaji mwenye uwezo wa kusimamia maamuzi na kuhakikisha yanatekelezwa. Huyu mama HAWEZI! Amewahi kuwa mjumbe wa bodi hiyo ya TBC hadi miaka mitatu iliyopita alipotolewa.
 
Last edited by a moderator:
POMPO

naamini unampongeza kwakuwa tu ni prof wako.

LAKINI huyu ni mtu bogus, mwoga haina mfano. Alikuwa SJMC kwa zaidi ya miaka sita lakini alikuwa anashindwa kutoa arguments kwa wakubwa UDSM ili kuiboresha SJMC. Walau kale ka mama kengine Dr Kilian kalisaidia kuibadili SJMC.

Prof Possi ni mzuri katika kuandika academic papers tu. Lakini katika kukaa chini kjenga hoja na kuitetea hadi kuhakikisha inakuwa implemented, huyu mama ni ZIRO>

Kama huniamini, mpe mwaka mmoja utaona kama TBCCM haitazidi kuzama na kuwaudhi watanzania. Mbaya zaidi Mkurugenzi wa hiy TBCCM mwenyewe naye BOGUS mwingine Clement Mshana.

Tuna kazi kubwa sana watanzania
There you are... Mkuu ukiangalia kazi za mwenyekiti wa Bodi utagundua mwenye Rungu ni RED, na tatizo lipo hapo Mwana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom