Sasa kama unamuingilia boss wako anayejidai kuwa msafi wakati ni mambo yake kichini chini!!!
Mara zote nisome vema. Nasimamia hoja zangu, na kama una access na Ikulu, uliza kwanini JK kasitisha ghafla kwenda Ethiopia. Uliza nini kinaendelea kati ya Ubalozi wa Marekani na Ikulu yetu.
Kwenye bold hapo! Ndo JK anapopata wakati mgumu. Ngoja tuone upepo huu kama utafanikiwa kupita.
Vuta subira.
Hii Wizara ni ngumu sana, Muhongo si mwanasiasa; anajaribu kufanya kazi na kuziba mianya mingi ya rushwa, ameanza kukumbana na vigingi kwenye Nishati, kila sehemu anawindwa. Akikosea tu, wanaye
Kwa serikali iliyojaa wababaishaji kama ya kwetu, hata akitokea mtu muadilifu namna gani lazima atapigwa vita tuu. Na kama kweli Prof Muhongo amedhamiria kuleta mabadiliko ya kweli hapo wizarani kwake, i doubt kama atadumu muda mrefu. This country is rotten to core leadership-wise! Na kama ni injini ya gari basi inahitaji overhauling na sio kubadili badili spare parts.
Mara zote nisome vema. Nasimamia hoja zangu, na kama una access na Ikulu, uliza kwanini JK kasitisha ghafla kwenda Ethiopia. Uliza nini kinaendelea kati ya Ubalozi wa Marekani na Ikulu yetu.
Kwenye bold hapo! Ndo JK anapopata wakati mgumu. Ngoja tuone upepo huu kama utafanikiwa kupita.
Vuta subira.
Hii Wizara ni ngumu sana, Muhongo si mwanasiasa; anajaribu kufanya kazi na kuziba mianya mingi ya rushwa, ameanza kukumbana na vigingi kwenye Nishati, kila sehemu anawindwa. Akikosea tu, wanaye
Kwa jinsi inavyotisha naomba iwe tu porojo na isiwe kweli maana kichefuchefu chake sijui hata neno la kuongeza!
Wizara sio ngumu ila kila fisadi kategeshea mirija wake pale na akija mtu anayesema paka ni paka bali paka si mbwa basi hao dinosaurs wanajitokeza na kutisha. Lakini kama tungekuwa na kiongozi imara-yule anayeandikwa na Jeneral Ulimwengu kila siku wala hayo ma dinosaurs yasingalikuwapo
Mara zote nisome vema. Nasimamia hoja zangu, na kama una access na Ikulu, uliza kwanini JK kasitisha ghafla kwenda Ethiopia. Uliza nini kinaendelea kati ya Ubalozi wa Marekani na Ikulu yetu.
Kwenye bold hapo! Ndo JK anapopata wakati mgumu. Ngoja tuone upepo huu kama utafanikiwa kupita.
Vuta subira.
Hii Wizara ni ngumu sana, Muhongo si mwanasiasa; anajaribu kufanya kazi na kuziba mianya mingi ya rushwa, ameanza kukumbana na vigingi kwenye Nishati, kila sehemu anawindwa. Akikosea tu, wanaye
hilo nami naliwaza,akimtoa pale ataelewekaje????ingawa mkuu nae ni KIZIWI MSIKIVU,lakini sasa jamii itaconclude kuwa NISHAT NI WIZARA YAKEKwamba, kuna wahujumu wa uchumi wetu kupitia Wizara hii na taasisi zake kama TANESCO, STAMICO, REA, TPDC, TMAA n.k ambao hawajafurahia kuwepo kwa mtu mwenye msimamo, mwadilifu na msomi mwelewa kama huyu (an exemplary Geologist )aliyetuzwa ulimwenguni kote hilo si la ajabu maana mizizi yao ama imekisha katwa au iko njiani kukatwa. Lakini kwamba Rais (na Chama chake cha Mapinduzi) wanapanga wamuamishe kutoka Wizara ni tetesi ambayo nina wasiwasi nayo. Wasiwasi wangu umejengeka katika msingi mmoja kwamba, ni kocha wa ajabu anayeweza kufanya substitution kwa mchezaji aliyeingia dakika chache na akaonekana kuendelea kufanya vizuri sana katika mchezo unaoendelea ambao matokeo yake ni nyeti katika kuupata ushindi wakati dakika zinaelekea ukingoni!! Fikiria ni katika wizara yake naona hata wananchi walielekezwa watume maombi na kushindanishwa kuwa wajumbe wa Bodi!
Wakuu,
Kuna sekeseke linaendelea chini kwa chini ambalo likifumuka linaweza kupelekea Prof. Muhongo kuhamishwa Wizara au kupoteza nafasi yake.
Kifupi ni kuwa jamaa kaingilia maslahi ya wakubwa na kwa sasa mambo si mambo. Tutayasikia ya kusikika muda si mrefu.
Nimeandika ili wajue tayari tumejua, tuna taarifa za ndani zaidi na tunafahamu kinachoendelea kati yetu na wamarekani.
I find that standing in front of a very large jet engine where is what i am doing now,one that will bring electricity to thousand of home here in Tanzania is a good metaphor because Tanzania is taking off! Quote US secretary of state Hillary Clinton. In retrospect i am wondering if huge jet propelling TZ for takeoff metaphor was good one ,given the huge capacity charge burden that is crippling TANESCO. Take off is sure a far cry.
Basi we akili yako nzito sana. Unaweza kuchukuliwa mkeo kwa kudhamni umemfananisha. pole