Prof. Muhongo -> SYMBION -> Kikwete ->

Status
Not open for further replies.
Kama hali ndo iyo Kikwete aache usanii wake wa kubadilisha mawaziri kila kukicha hali yeye ndo kipingamizi cha maendeleo.
Ni shurti Bunge limuwajibishe, vote of no confidence.
Otherwise he'll swept by pipoooooooz b4 2015
 
Mara zote nisome vema. Nasimamia hoja zangu, na kama una access na Ikulu, uliza kwanini JK kasitisha ghafla kwenda Ethiopia. Uliza nini kinaendelea kati ya Ubalozi wa Marekani na Ikulu yetu.

Kwenye bold hapo! Ndo JK anapopata wakati mgumu. Ngoja tuone upepo huu kama utafanikiwa kupita.

Vuta subira.
Hii Wizara ni ngumu sana, Muhongo si mwanasiasa; anajaribu kufanya kazi na kuziba mianya mingi ya rushwa, ameanza kukumbana na vigingi kwenye Nishati, kila sehemu anawindwa. Akikosea tu, wanaye

sawa, nami ngoja nijijuze kulikoni!
 
Kwa serikali iliyojaa wababaishaji kama ya kwetu, hata akitokea mtu muadilifu namna gani lazima atapigwa vita tuu. Na kama kweli Prof Muhongo amedhamiria kuleta mabadiliko ya kweli hapo wizarani kwake, i doubt kama atadumu muda mrefu. This country is rotten to core leadership-wise! Na kama ni injini ya gari basi inahitaji overhauling na sio kubadili badili spare parts.

Overhauling haisaidii bali kuibadilisha na injini ile brandi nyu.
Kumstopisha Prof. mbona rahisi sana, si umeona kwa Mama Tiba alivyokuja kasi akapigwa spidi gavana kwa kuwa inchi hii inawenyewe. Chezea wengine.....sio wenyewe.
 
Mara zote nisome vema. Nasimamia hoja zangu, na kama una access na Ikulu, uliza kwanini JK kasitisha ghafla kwenda Ethiopia. Uliza nini kinaendelea kati ya Ubalozi wa Marekani na Ikulu yetu.

Kwenye bold hapo! Ndo JK anapopata wakati mgumu. Ngoja tuone upepo huu kama utafanikiwa kupita.

Vuta subira.
Hii Wizara ni ngumu sana, Muhongo si mwanasiasa; anajaribu kufanya kazi na kuziba mianya mingi ya rushwa, ameanza kukumbana na vigingi kwenye Nishati, kila sehemu anawindwa. Akikosea tu, wanaye

Wizara sio ngumu ila kila fisadi kategeshea mirija wake pale na akija mtu anayesema paka ni paka bali paka si mbwa basi hao dinosaurs wanajitokeza na kutisha. Lakini kama tungekuwa na kiongozi imara-yule anayeandikwa na Jeneral Ulimwengu kila siku wala hayo ma dinosaurs yasingalikuwapo
 
kwa nini mgao umekuwa mkali awamu hii ambayo tuna hadi gas asilia?ask yourself
 
Kwamba, kuna wahujumu wa uchumi wetu kupitia Wizara hii na taasisi zake kama TANESCO, STAMICO, REA, TPDC, TMAA n.k ambao hawajafurahia kuwepo kwa mtu mwenye msimamo, mwadilifu na msomi mwelewa kama huyu (an exemplary Geologist )aliyetuzwa ulimwenguni kote hilo si la ajabu maana mizizi yao ama imekisha katwa au iko njiani kukatwa. Lakini kwamba Rais (na Chama chake cha Mapinduzi) wanapanga wamuamishe kutoka Wizara ni tetesi ambayo nina wasiwasi nayo. Wasiwasi wangu umejengeka katika msingi mmoja kwamba, ni kocha wa ajabu anayeweza kufanya substitution kwa mchezaji aliyeingia dakika chache na akaonekana kuendelea kufanya vizuri sana katika mchezo unaoendelea ambao matokeo yake ni nyeti katika kuupata ushindi wakati dakika zinaelekea ukingoni!! Fikiria ni katika wizara yake naona hata wananchi walielekezwa watume maombi na kushindanishwa kuwa wajumbe wa Bodi!
 
Wizara sio ngumu ila kila fisadi kategeshea mirija wake pale na akija mtu anayesema paka ni paka bali paka si mbwa basi hao dinosaurs wanajitokeza na kutisha. Lakini kama tungekuwa na kiongozi imara-yule anayeandikwa na Jeneral Ulimwengu kila siku wala hayo ma dinosaurs yasingalikuwapo

nikumbushe mkuu tabiri ya jenerali
 
Mara zote nisome vema. Nasimamia hoja zangu, na kama una access na Ikulu, uliza kwanini JK kasitisha ghafla kwenda Ethiopia. Uliza nini kinaendelea kati ya Ubalozi wa Marekani na Ikulu yetu.

Kwenye bold hapo! Ndo JK anapopata wakati mgumu. Ngoja tuone upepo huu kama utafanikiwa kupita.

Vuta subira.
Hii Wizara ni ngumu sana, Muhongo si mwanasiasa; anajaribu kufanya kazi na kuziba mianya mingi ya rushwa, ameanza kukumbana na vigingi kwenye Nishati, kila sehemu anawindwa. Akikosea tu, wanaye

ah,huyu bwana ataingizwa kwenye mfumo wa kisiasa rasmi,ila hatafanikiwa,maana wizara ile ni ya the so called WAKUBWA
 
Album mpya ya chadema singo zake ni tunajuwa, tutasema, tutawaonesha, tutawataja.

Umeshawahi kusikia kisa cha "mie najuwa, wewe unajuwa na yeye anajuwa"?

Kwetu pwani huwa tunsema hayo ni maneno ya mafataani na kwa mafataani kwa ailimia kubwa huwa wanajulikana ni akina nani.

Kama kitu unakijuwa unaogopa wanaume wenzio?

Kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Kwamba, kuna wahujumu wa uchumi wetu kupitia Wizara hii na taasisi zake kama TANESCO, STAMICO, REA, TPDC, TMAA n.k ambao hawajafurahia kuwepo kwa mtu mwenye msimamo, mwadilifu na msomi mwelewa kama huyu (an exemplary Geologist )aliyetuzwa ulimwenguni kote hilo si la ajabu maana mizizi yao ama imekisha katwa au iko njiani kukatwa. Lakini kwamba Rais (na Chama chake cha Mapinduzi) wanapanga wamuamishe kutoka Wizara ni tetesi ambayo nina wasiwasi nayo. Wasiwasi wangu umejengeka katika msingi mmoja kwamba, ni kocha wa ajabu anayeweza kufanya substitution kwa mchezaji aliyeingia dakika chache na akaonekana kuendelea kufanya vizuri sana katika mchezo unaoendelea ambao matokeo yake ni nyeti katika kuupata ushindi wakati dakika zinaelekea ukingoni!! Fikiria ni katika wizara yake naona hata wananchi walielekezwa watume maombi na kushindanishwa kuwa wajumbe wa Bodi!
hilo nami naliwaza,akimtoa pale ataelewekaje????ingawa mkuu nae ni KIZIWI MSIKIVU,lakini sasa jamii itaconclude kuwa NISHAT NI WIZARA YAKE
 
nchi hii yahitaji mabadiliko ya kweli na wala sio lelemama,maneno tu hayaleti mabadiliko.tanzania hii imejaliwa maliasili nyingi mno.
 
Hii nchi inafaa sana akina werema,kombani,kawambwa &co,usiombe kuwa mchakazi utateseka sana
 
Wakuu,

Kuna sekeseke linaendelea chini kwa chini ambalo likifumuka linaweza kupelekea Prof. Muhongo kuhamishwa Wizara au kupoteza nafasi yake.

Kifupi ni kuwa jamaa kaingilia maslahi ya wakubwa na kwa sasa mambo si mambo. Tutayasikia ya kusikika muda si mrefu.

Nimeandika ili wajue tayari tumejua, tuna taarifa za ndani zaidi na tunafahamu kinachoendelea kati yetu na wamarekani.

naskia jamaa alikua anaitwa malaika kama jina la kikazi... hivi kuna intelligence kumuita jamaa kama yule malaika kweli?? maana naona kama ushetani ndio dominant character
 
I find that standing in front of a very large jet engine where is what i am doing now,one that will bring electricity to thousand of home here in Tanzania is a good metaphor because Tanzania is taking off! Quote US secretary of state Hillary Clinton. In retrospect i am wondering if huge jet propelling TZ for takeoff metaphor was good one ,given the huge capacity charge burden that is crippling TANESCO. Take off is sure a far cry.
 
Kucheza na hawa watu inahitaji akilini sana. Tutamkumbuka JK Nyerere milele kwani aliwajua na akawadhibiti hawa watu. Sasa kazi tunayo na ndo maana majuzi wamepiga mkwara wa vikwazo tu kwani wanatuelewa sana sasa hivi na wapo ndani. Kwa kweli siyo watu wazuri kabisa.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom