Wakuu,
Kuna sekeseke linaendelea chini kwa chini ambalo likifumuka linaweza kupelekea Prof. Muhongo kuhamishwa Wizara au kupoteza nafasi yake.
Kifupi ni kuwa jamaa kaingilia maslahi ya wakubwa na kwa sasa mambo si mambo. Tutayasikia ya kusikika muda si mrefu.
Nimeandika ili wajue tayari tumejua, tuna taarifa za ndani zaidi na tunafahamu kinachoendelea kati yetu na wamarekani.
Kwa serikali iliyojaa wababaishaji kama ya kwetu, hata akitokea mtu muadilifu namna gani lazima atapigwa vita tuu. Na kama kweli Prof Muhongo amedhamiria kuleta mabadiliko ya kweli hapo wizarani kwake, i doubt kama atadumu muda mrefu. This country is rotten to core leadership-wise! Na kama ni injini ya gari basi inahitaji overhauling na sio kubadili badili spare parts.
Mkuu I appreciate your input,let's wait and see!Hata mie nasubiri sana nione atacope vipi na 'system' iliyopo.
Lakini naona ameshaanza kufanya baadhi ya mambo, maana kuna regulations mpya zimeanza kutumika kuanzia July ambazo malipo ni maradufu, sijajua na mirahaba kama imeongezeka.
Lakini kwenye mikataba iliyokwisha sainiwa sijui kama kuna analoweza fanya sana zaidi ya kuomba majadialiano yaanza upya.
Ngoja tuone zaidi. . .
We ni kanjanja nn, mbona habari yako ya udaku maana haina fact kabisa.Wakuu,
Kuna sekeseke linaendelea chini kwa chini ambalo likifumuka linaweza kupelekea Prof. Muhongo kuhamishwa Wizara au kupoteza nafasi yake.
Kifupi ni kuwa jamaa kaingilia maslahi ya wakubwa na kwa sasa mambo si mambo. Tutayasikia ya kusikika muda si mrefu.
Nimeandika ili wajue tayari tumejua, tuna taarifa za ndani zaidi na tunafahamu kinachoendelea kati yetu na wamarekani.
Weka vitu mkuu! Prof. Mcassava wewe unafaa sana, jembe lenye kuchapa kazi nakuomba tu uwe makini wasije wakakulimboka au kukumwakyela.....
Wakuu,
Kuna sekeseke linaendelea chini kwa chini ambalo likifumuka linaweza kupelekea Prof. Muhongo kuhamishwa Wizara au kupoteza nafasi yake.
Kifupi ni kuwa jamaa kaingilia maslahi ya wakubwa na kwa sasa mambo si mambo. Tutayasikia ya kusikika muda si mrefu.
Nimeandika ili wajue tayari tumejua, tuna taarifa za ndani zaidi na tunafahamu kinachoendelea kati yetu na wamarekani.
zomba-m=? yaani wewe mleta hnja yuko sirious na issue kama hii af we unaanza kuleta utaarabu cjui ushostito wako hapa senzi unaumwa magamba ndo maana huwa unakurupuka. Swala la kuitetea nchi wewe nye wakupewa au ni wale masalia wa wasomali wanaotaka kwenda south afrika. Jenga nch yako nape we!
Makofi yote yale Bungeni wamuamishe wizara? ........................
We ni kanjanja nn, mbona habari yako ya udaku maana haina fact kabisa.