Prof. Muhongo -> SYMBION -> Kikwete ->

Status
Not open for further replies.
Kuna sekeseke linaendelea chini kwa chini ambalo likifumuka linaweza kupelekea Prof. Muhongo kuhamishwa Wizara au kupoteza nafasi yake.

Kifupi ni kuwa jamaa kaingilia maslahi ya wakubwa na kwa sasa mambo si mambo. Tutayasikia ya kusikika muda si mrefu.
Tangu niliposikia Prof. huyu kateuliwa kushika wizara nyeti hiyo nilijua kazi ndiyo imeanza! namfahamu kama mtu mwenye msimamo na mchukia rushwa ila nilimwonea huruma kwa vile alikabiliwa na ugumu katika utekelezaji wa majukumu yake akiwa na timu iliyooza. Uozo wote ndani ya TANESCO na Wizara ya madini ukiwemo wa mikataba mibovu ya madini ni maslahi ya viongozi wa chama chake na serikali iliyopo madarakani. Tusubiri, tuone.
 
Mara zote nisome vema. Nasimamia hoja zangu, na kama una access na Ikulu, uliza kwanini JK kasitisha ghafla kwenda Ethiopia. Uliza nini kinaendelea kati ya Ubalozi wa Marekani na Ikulu yetu.

Kwenye bold hapo! Ndo JK anapopata wakati mgumu. Ngoja tuone upepo huu kama utafanikiwa kupita.

Vuta subira.
Hii Wizara ni ngumu sana, Muhongo si mwanasiasa; anajaribu kufanya kazi na kuziba mianya mingi ya rushwa, ameanza kukumbana na vigingi kwenye Nishati, kila sehemu anawindwa. Akikosea tu, wanaye

Mkuu it seems that you have adequate information so why are you providing Incomplete assuming that everybody has a clue? Hapo kwenye hizo RED umeona nachomaanisha. This is WHERE WE DARE TO TALK OPENLY! Be so mkuu.
 
Wizara sio ngumu ila kila fisadi kategeshea mirija wake pale na akija mtu anayesema paka ni paka bali paka si mbwa basi hao dinosaurs wanajitokeza na kutisha. Lakini kama tungekuwa na kiongozi imara-yule anayeandikwa na Jeneral Ulimwengu kila siku wala hayo ma dinosaurs yasingalikuwapo

Mkuu Wizara husika ni ngumu; ugumu uko hapo ktk red kama ulivyoandika mwenyewe!
 
Kucheza na hawa watu inahitaji akilini sana. Tutamkumbuka JK Nyerere milele kwani aliwajua na akawadhibiti hawa watu. Sasa kazi tunayo na ndo maana majuzi wamepiga mkwara wa vikwazo tu kwani wanatuelewa sana sasa hivi na wapo ndani. Kwa kweli siyo watu wazuri kabisa.

Yaani Wamarekani ni majangili wa kutupwa. Si watu wazuri hata kidogo. Ukiacha barabara waliyojengwa huko kusini kwa ajili ya kurahisisha kuiba uranium yetu, miradi yao mingi ndani ya TZ iko kwenye kutusambazia virusi vya ukimwi na viwanda vyao vya kutengeneza vyandarua huko Arusha. They are evil people.
 
syimbioni wana kazi ya kusambaza umeme vijijini...halafu inawezekana serikali ya marekani imegunduwa usanii uliofanyika wakati yule mama mmarekani alipokuja kufunguwa syimbion power
Symbion is owned by a former CIA operative. We know that once you work for CIA you will always be CIA.
Sasa CIA wameshapata upenyo ndani ya Bongo kupitia urafiki wa Wilson na Kikwete. Mengine jazieni wenyewe.
Hakukosea sana Dr. Slaa aliposema kuwa Kikwete ni janga la taifa. Madhara yake kuwa mamlakani yatatuathiri kwa miaka mingine 30 ijayo.
 
Mkuu it seems that you have adequate information so why are you providing Incomplete assuming that everybody has a clue? Hapo kwenye hizo RED umeona nachomaanisha. This is WHERE WE DARE TO TALK OPENLY! Be so mkuu.
Wengine hatujazoea kuandika kwa mtindo wa Kubenea, tunatoa tips tu. I've been on JF since 2008; naelewa hii slogan, shirikisha ubongo kidogo kamanda. MwanaHalisi hawapo, Raia Mwema au Mwananchi wataidaka hii, wasipoidaka kupitia kwangu basi kupitia source nyingine.
 
Last edited by a moderator:
Mara zote nisome vema. Nasimamia hoja zangu, na kama una access na Ikulu, uliza kwanini JK kasitisha ghafla kwenda Ethiopia. Uliza nini kinaendelea kati ya Ubalozi wa Marekani na Ikulu yetu.

Kwenye bold hapo! Ndo JK anapopata wakati mgumu. Ngoja tuone upepo huu kama utafanikiwa kupita.

Vuta subira.
Hii Wizara ni ngumu sana, Muhongo si mwanasiasa; anajaribu kufanya kazi na kuziba mianya mingi ya rushwa, ameanza kukumbana na vigingi kwenye Nishati, kila sehemu anawindwa. Akikosea tu, wanaye

Nilitaka kushangaa nani ana nguvu za kukataza jenereta za diesel zisiwashwe kwenye nchi hii? Ngoja tuone maana lazima mgao utengenezwe ili majenereta hayo yanufaishe wahusika
 
Mara zote nisome vema. Nasimamia hoja zangu, na kama una access na Ikulu, uliza kwanini JK kasitisha ghafla kwenda Ethiopia. Uliza nini kinaendelea kati ya Ubalozi wa Marekani na Ikulu yetu.

Kwenye bold hapo! Ndo JK anapopata wakati mgumu. Ngoja tuone upepo huu kama utafanikiwa kupita.

Vuta subira.
Hii Wizara ni ngumu sana, Muhongo si mwanasiasa; anajaribu kufanya kazi na kuziba mianya mingi ya rushwa, ameanza kukumbana na vigingi kwenye Nishati, kila sehemu anawindwa. Akikosea tu, wanaye
Ok nauliza...Nini kinaendelea kati ya ubalozi wa marekani na ikulu yetu?
 
Mara zote nisome vema. Nasimamia hoja zangu, na kama una access na Ikulu, uliza kwanini JK kasitisha ghafla kwenda Ethiopia. Uliza nini kinaendelea kati ya Ubalozi wa Marekani na Ikulu yetu.

Mkuu, hapo kwenye RED & BOLD, Huyu jamaa JK ana roho ya ajabu sana linapokuja suala la Safari, sijui kama atavumilia kutokwenda Huko
 
Symbion is owned by a former CIA operative. We know that once you work for CIA you will always be CIA.
Sasa CIA wameshapata upenyo ndani ya Bongo kupitia urafiki wa Wilson na Kikwete. Mengine jazieni wenyewe.
Hakukosea sana Dr. Slaa aliposema kuwa Kikwete ni janga la taifa. Madhara yake kuwa mamlakani yatatuathiri kwa miaka mingine 30 ijayo.
.... Muhongo kwa kujiamini, akaanza kuhoji 'wabunge kuhongwa na Symbion...' guess what followed!
 
.... Muhongo kwa kujiamini, akaanza kuhoji 'wabunge kuhongwa na Symbion...' guess what followed!

Duuh, tuarifu mkuu. I can only imagine what followed. Najua bado kuna vita ya akina Mboma et al kumhujumu au kuhakikisha Muhongo anaondolewa hapo wizarani. Please put more meat on the bone.
 
Album mpya ya chadema singo zake ni tunajuwa, tutasema, tutawaonesha, tutawataja.

Umeshawahi kusikia kisa cha "mie najuwa, wewe unajuwa na yeye anajuwa"?

Kwetu pwani huwa tunsema hayo ni maneno ya mafataani na kwa mafataani kwa ailimia kubwa huwa wanajulikana ni akina nani.

Kama kitu unakijuwa unaogopa wanaume wenzio?

Kwi kwi kwi teh teh teh!
duhh!very very "Faiza Foxy"
 
Revolution is the solution...Hilo ndo naloliamini deep inside my heart.

Wote sisi ni product za ufisadi in one way or another kwasababu tumekuzwa na a corrupt system.Kuanza upya kabisa ndo solution vinginevyo tusidanganyane.
 
zomba-m=? yaani wewe mleta hnja yuko sirious na issue kama hii af we unaanza kuleta utaarabu cjui ushostito wako hapa senzi unaumwa magamba ndo maana huwa unakurupuka. Swala la kuitetea nchi wewe nye wakupewa au ni wale masalia wa wasomali wanaotaka kwenda south afrika. Jenga nch yako nape we!
 
hivi lini hii CCM tutairestisha ini pisi wawanawani 2015 mbali sana.
inakera sana kuona CCM kutwa kucha ni kutetea matumbo yao na sio maslahi ya wananchi
Prof Muhogo nakushauri wakikutisha itisha press conference sema kila kitu
halafu jiuzulu, hapo hapo andaa barua kabisa na itume after conference achia ngazi rudi kafundishe
CV yako inatisha huna haja kuinyenyekea CCM isiokuwa na lengo la kumkomboa Mtanzania.
 
Tangu niliposikia Prof. huyu kateuliwa kushika wizara nyeti hiyo nilijua kazi ndiyo imeanza! namfahamu kama mtu mwenye msimamo na mchukia rushwa ila nilimwonea huruma kwa vile alikabiliwa na ugumu katika utekelezaji wa majukumu yake akiwa na timu iliyooza. Uozo wote ndani ya TANESCO na Wizara ya madini ukiwemo wa mikataba mibovu ya madini ni maslahi ya viongozi wa chama chake na serikali iliyopo madarakani. Tusubiri, tuone.

mkuu mbwigule has anything to do with "mbwiga"?Back to the point nakubaliana na wewe kabisa.Hata mimi nilishangazwa Kongosho alieleza the same thing kuhsu huyo kiongozi,msimamo wake na uchapaji kazi wake.

Kwa tunavyomfahamu JK,ambaye inasemekana ana maslahi kwenye hizo issue zote,nilishangazwa sana na hatua za prof Muhongo.Maana what he did ni kinyume kabisa na JK.I was surprised.

Kama sifa anazopewa za uzalendo zina ukweli,basi nasubiri nione the next move.Kama ni kweli ni mtu mwelewa na mwenye uwezo wa kupambanua mambo.Basi alitumikie taifa kizalendo...
 
attachment.php

Tatizo la taifa
 
Attachments

  • JMK.jpg
    JMK.jpg
    13.2 KB · Views: 394
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom