Keshasaini nini?J.k keshasain kimyakimya
kuwatawala wamasai na wameru yataka moyo!
cameronkeshasaini nini?
kuwatawala wamasai na wameru yataka moyo!
wana msimamo sio masaburi wanaopelekeshwa
Hawa watu inabidi wapewe elimu ya darasani...tatizo bado hawajitambuiMmeamia kwa wamasai na wameru tena?
kuwatawala wamasai na wameru yataka moyo!
Bora waichafue tu hiyo sifa ya nchi kwani hata ikibaki safi nini hasa kitachopatikana??Haya sasa hatupati tena misaada toka UK na sijui itakuaje huko nje maana kuna misafa kibao kuwa Tz ni nchi amani ya kuijwa Africa sasa Mkuu sijui atawaeleza nini hao Wazungu
Kimsingi Arusha wamekoroga sana sifa ya Tz nje