Prince Charles na mke wake washindwa kuingia mjini Arusha

Ondoa fikra butu hapa! Ingekuwa ni hivyo unavyodai, mbona CHADEMA walipigania Lema atoke siku mbili kabla huyu mgeni hajafika?
Anyway, tatizo ni akili zako ziko makalioni na umepost hiyo comment ukiwa unakunya (mind busy)
 
safi sana sasa ataenda kumwambia cameron wana wa arusha hawataki ushoga kama wao walivyo....
 
Safari ni hatua, hongereni Arusha ujumbe wenu umefika, kweli damu ya vijana wenu iliyomwagika iko siku majibu yatapatikana
 
Wageni wanaotembelea tz wanaenda Dar-Kigamboni-Zenji na Arusha. jamani kwingine siyo Tanzania
 
Haya sasa hatupati tena misaada toka UK na sijui itakuaje huko nje maana kuna misafa kibao kuwa Tz ni nchi amani ya kuijwa Africa sasa Mkuu sijui atawaeleza nini hao Wazungu

Kimsingi Arusha wamekoroga sana sifa ya Tz nje
Bora waichafue tu hiyo sifa ya nchi kwani hata ikibaki safi nini hasa kitachopatikana??
 
Asanteni wameru kwa kuiwezesha tanzania kuapata paundi million 4 kama msaada haya ni maendeleo ya dhati thenk yu veri machi awa patrioti sitizen ofu arusha end elsi wea wi a sapozidi tu adapti gud did ofu Arumeru.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom