Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,084
- Thread starter
- #21
nipoo hapa A-town namwona prince charles anakatizaaa na wapambe akiwemo balozi wa uk nchinii...Ataelekeaa cultural heritagee soon.
Acha uongo wewe! JF siyo kijiwe cha kahawa walipo wambeya. Ameshindwa kuja mjini na amekwisha panda ndege amesepa, mods hawa watu wanaifanya JF kuwa kijiwe cha wahuni waban bana.