Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,100
Ninafanya online rehab. Kwa wale warahibu wenzangu wa gambe/kilaji/mtungi/kitwanga/mambo/vitu/smart phone/ulabu na majina mengine..ni lazima Tuwe wakweli kuwa pamoja na vifaida vichache vya pombe, madhara ni mengi zaidi.
Kwangu Mimi, imenimalizia pesa, magomvi na watu wa karibu, imeyumbisha ndoa, ajali za Mara kwa Mara, na uzembe usio na msingi.
Kwako wewe mwenzangu, Hebu funguka... Pombe imekuletea madhara gani maishani???
#naachapombe