chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,758
- 2,529
Katika rehab kuna kipengere flani ambacho kinaelezea unapojaribu kuacha kitu usiache kwasababu kimekuletea madhara bali uache kwasababu umeamua kuacha
Ukipima uzani wa faida na hasara ya pombe nadhani faida inaweza kuwa kubwa kuliko hasara sababu mnywaji ndiye anayefiri ile andasi na inawezekana hakuna sehemu nyingine anayoweza kuipata
Hasara zipo katika kila jambo maishani (inategemea na jinsi unavyo tafsiri) na mara nyingi jamii ndio inayo jaji sana na kupanga mfumo wa maisha
Mie binafsi pombe haijakawai kuniretea hasara kubwa kama ilivyokuwa kwa mambo mengine