Pombe imekuletea madhara gani maishani mwako?

Huwa nikinywa pombe nakuwa jasiri sana demu nitakae muona machoni mwangu lazima ni mgegede tu
 
Hilo ni pepo...Mungu akusamehe kwa kweli...
Hv pepo ni.kitu gan??
Na anapatikana wapi??
Watu wanaenda kanisan kila.siku
But
Wanazini
Wanasema uongo nk

Hapo wanakuwa wamevunja amri kumu za mungu

But ktk amri kumi.za mungu hakuna mungu alipo sema usinywe pombe...
Km papo niambie

Ulevi n.mzizi wa dhambi na sio pombe,

Unapo kuwa unakunywa pombe kila siku na kuzidisha na kusumbua wanao kuzunguka basi unakuwa mlevi...na mwisho wa siku waweza kuuwa mtu.coz ww n.mlevi

Hiyo n.sawa.sawa na.mlafi au.mchoyo..ww unakula.hadi kuvimbiwa na kuanza kuwajambia watu harufu mbaya ktk mkusanyiko wwt nakufanya wasiconcentrate kwa jambo muhimu na kupeleke tatizo baadae..kwa maama hiyo utasema chakula n najisi...la.hashaa

Ni sawa na pombe

Kunywa pombe kwa afya yako

Hata yesu mwenyewe alibadili pombe/mvinyo kuwa damu yake.....kwann hujiulizi hakubadili soda???

Km umesoma hata advance au chuo watu.wanaongoza kudisco n wale wanao jiita walokole au waswala tano..huwez kukuta mlevi kafall my b km anaigiza wajua kwann.....??

Fanya utafiti kwa mijitu yenye IQ za ajabu hii dunia..lazima wanapiga chombo

Ila tazama watu wanao ongoza kujinyonga kwa mawazo,presha,stress nk...n hao hao wanywa novida

Kwa mantiki hii mie nauwakika hata huyo mungu/allah mnae mwamini..km kweli yupo lazima anashtua ngano kimtindo

Tunywee tuu
 
kuna jamaa aliliwaga jicho/tigo na wahun baada ya kuwa bwiii. aliamka asbui surual, bukta na boxa ziko kwenye visgino, af yuko ucholon
 
Hv pepo ni.kitu gan??
Na anapatikana wapi??
Watu wanaenda kanisan kila.siku
But
Wanazini
Wanasema uongo nk

Hapo wanakuwa wamevunja amri kumu za mungu

But ktk amri kumi.za mungu hakuna mungu alipo sema usinywe pombe...
Km papo niambie

Ulevi n.mzizi wa dhambi na sio pombe,

Unapo kuwa unakunywa pombe kila siku na kuzidisha na kusumbua wanao kuzunguka basi unakuwa mlevi...na mwisho wa siku waweza kuuwa mtu.coz ww n.mlevi

Hiyo n.sawa.sawa na.mlafi au.mchoyo..ww unakula.hadi kuvimbiwa na kuanza kuwajambia watu harufu mbaya ktk mkusanyiko wwt nakufanya wasiconcentrate kwa jambo muhimu na kupeleke tatizo baadae..kwa maama hiyo utasema chakula n najisi...la.hashaa

Ni sawa na pombe

Kunywa pombe kwa afya yako

Hata yesu mwenyewe alibadili pombe/mvinyo kuwa damu yake.....kwann hujiulizi hakubadili soda???

Km umesoma hata advance au chuo watu.wanaongoza kudisco n wale wanao jiita walokole au waswala tano..huwez kukuta mlevi kafall my b km anaigiza wajua kwann.....??

Fanya utafiti kwa mijitu yenye IQ za ajabu hii dunia..lazima wanapiga chombo

Ila tazama watu wanao ongoza kujinyonga kwa mawazo,presha,stress nk...n hao hao wanywa novida

Kwa mantiki hii mie nauwakika hata huyo mungu/allah mnae mwamini..km kweli yupo lazima anashtua ngano kimtindo

Tunywee tuu
Katika hili nakuunga mkono kwa nguvu zote. Watu wa Mungu wanaangamia kwa kukosa maarifa - na maarifa ndo hayo ya kukuweka huru. Ukiijua kweli itakuweka huru toka utumwani.
Alichokitakasa Mungu mwanadamu asikiite najisi, pombe, kitimoto ruksa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom