Pombe imekuletea madhara gani maishani mwako?

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
2,026
3,100
Ninafanya online rehab. Kwa wale warahibu wenzangu wa gambe/kilaji/mtungi/kitwanga/mambo/vitu/smart phone/ulabu na majina mengine..ni lazima Tuwe wakweli kuwa pamoja na vifaida vichache vya pombe, madhara ni mengi zaidi.

Kwangu Mimi, imenimalizia pesa, magomvi na watu wa karibu, imeyumbisha ndoa, ajali za Mara kwa Mara, na uzembe usio na msingi.

Kwako wewe mwenzangu, Hebu funguka... Pombe imekuletea madhara gani maishani???
#naachapombe
 
imeniletea michepuko tele!
 
Aise baba aliwahi kuniambia kila cku kuna bia au pombe nzuri zinatengenezwa so hakuna haja ya kunywa hivi sasa.Matokeo yake nimeyaona sijanywa tokea 2005
 
mimi pombe imeniletea dili kibao... sinywag bia zaidi ya nne hata iweje.. na sijawai kulewa mtu akagundua nimelewa.. nakunywa kwa raha zangu kila siku..

hasara kubwa ni matumizi tu ya elfu 10 kila siku kwenye bia... ukiondoa hivyo sina chuki nayo..

na hakuna anaeniponda sabab watu wengi wanaonizunguka japo hawanywi pombe wananitegemea mimi niwasaidie kwenye dharura zao..

kumbe hawajui mimi dili za hela nazifanyia vikao bar na network kubwa naipatia huko bar
 
Madhara madogo madogo tu kama kujinyea kujikojolea kutapika mbele za watu mwisho ni kuoga ila hili la kubaka sasa nadhani hapa ndo patamu maana la kumtokea mkwe nililisovu na kukusa promotion atleast
 
Madhara madogo madogo tu kama kujinyea kujikojolea kutapika mbele za watu mwisho ni kuoga ila hili la kubaka sasa nadhani hapa ndo patamu maana la kumtokea mkwe nililisovu na kukusa promotion atleast

Duh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom