Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 2,440
- 2,142
hakuna polisi inayotumia live firearms against protestors!!
Tanzania! Umesahau mara hii??!!
hakuna polisi inayotumia live firearms against protestors!!
Polisi hawawezi kukurupuka tu kwenda kuuwa. Kwanini husemi ni nani aliamrisha maandamano? Kwa nini husemi ni nani aliamrisha kundi la watu waende polisi wakitokea kwenye mkutano wa chadema? Au yote hayo huyajui?
Unasema suala la kushitakiwa serikali ICC haina maana likija suala la hukumu ya Dowans ICC maamuzi yake yaheshimiwe which is your stand.Golden opportunity ya kuafanya nini? kujitangaza kimataifa au? this is shit! EU wanashindwa kusimamisha mauaji ya halaiki palestina yanayofanywa na israel, waje kuisaidia CDM? you are not serious! hao EU una waona wasafi?
sana sana kuwaomba wasitoe misaada yao kwa TZ wataadhirika watanzania wote including wana CDM na hata sikumoja EU haiwezi kupindua serikali ya TZ! wala haitawapa umaarufu mnaofikiria.
ICC ndio kabisa haita saidia chochote maana kama wa kufungwa ni Dr. Slaa, maana amri katoa yeye watu wakavamie kituo cha police. wacha waende yetu macho kwanza CDM watafundishwa namna ya ku control mobs zao.
Zomba kama unaweza kuangalia Euro news!(leo).nadhani utaona umuhimu na faida ya maandamano.Vile vile utaona jinsi gani polisi wanavyosaidia ili hayo maandamano yawe ya utulivu.
Golden opportunity ya kuafanya nini? kujitangaza kimataifa au? this is shit! EU wanashindwa kusimamisha mauaji ya halaiki palestina yanayofanywa na israel, waje kuisaidia CDM? you are not serious! hao EU una waona wasafi?
sana sana kuwaomba wasitoe misaada yao kwa TZ wataadhirika watanzania wote including wana CDM na hata sikumoja EU haiwezi kupindua serikali ya TZ! wala haitawapa umaarufu mnaofikiria.
ICC ndio kabisa haita saidia chochote maana kama wa kufungwa ni Dr. Slaa, maana amri katoa yeye watu wakavamie kituo cha police. wacha waende yetu macho kwanza CDM watafundishwa namna ya ku control mobs zao.
we better sort our own problems
Kama wewe ndiyo great thinker basi sishangai kwa nini TZ bado ni masikini na kuwa na uduni wa elimu.kwani kila leo najiuliza hivi genge la wahini(CDM) lawezaje kupata wafuasi, baada ya kuona thread yako nikajua ya kuwa kumbe hao wafuasi wote vi vichwa vya kondoo...hahahahahaaWe kizibao ndio walewale tu wasiojitambua huna jipya kalale unaleta ujinga wa makamba na chatanda hapa ' Get yourself out of Great Thinkers" jiunge na mtandao wa mafisadi
Mara nyingi huwa nawaambia wachezaji wangu keep the ball away from your penalty area, acha wao wa-defend kuliko wewe ku-defend. Nimeona wameanza kujitetea kwa kuchakachua picha TBC 1 wakidhani itasaidia, labda ingekuwa zamani enzi za magazeti ya Uhuru na Mfanyakazi na RTD tu lakini leo hawamdanganyi mtu.
Na wewe si mwana Ccm mpumbavu Type of MakambaNa wewe ni mmoja wa wakereketwa wa CDM wenye akili, sijui kwa nini hawakupiti ukatibu mkuu.
Na wewe si mwana Ccm mpumbavu Type of Makamba