Polisi yajitakasa isishitakiwe ICC kwa kuua

Polisi hawawezi kukurupuka tu kwenda kuuwa. Kwanini husemi ni nani aliamrisha maandamano? Kwa nini husemi ni nani aliamrisha kundi la watu waende polisi wakitokea kwenye mkutano wa chadema? Au yote hayo huyajui?

Wewe ni Zomba au Zombe?
Naamini we ni Zombe. Hata kama mauaji umeyazoea hakuna sababu yoyote dunia hii inayokupa ruhsa ya kupiga risasi raia asiye na siraha.

Mbeya wametendewa nini Polisi hawa?

Pamoja na uhuru wa kuandika utakacho lakini nadhani kichwa kimelegea kidogo!
 
Wewe ni kichwa maji hivi kwa akili yako mtu anaweza kulazimisha kundi kubwa vile liandamane na wakaandamana kama kweli walikuwa hawajachoshwa na ukiritimba wa mabwanyenye wanaojifanya miungu watu. Hapa IGP na wote waliohusika hawakwepi.
 
Golden opportunity ya kuafanya nini? kujitangaza kimataifa au? this is shit! EU wanashindwa kusimamisha mauaji ya halaiki palestina yanayofanywa na israel, waje kuisaidia CDM? you are not serious! hao EU una waona wasafi?

sana sana kuwaomba wasitoe misaada yao kwa TZ wataadhirika watanzania wote including wana CDM na hata sikumoja EU haiwezi kupindua serikali ya TZ! wala haitawapa umaarufu mnaofikiria.

ICC ndio kabisa haita saidia chochote maana kama wa kufungwa ni Dr. Slaa, maana amri katoa yeye watu wakavamie kituo cha police. wacha waende yetu macho kwanza CDM watafundishwa namna ya ku control mobs zao.
Unasema suala la kushitakiwa serikali ICC haina maana likija suala la hukumu ya Dowans ICC maamuzi yake yaheshimiwe which is your stand.
 
Wacheni rhetoric talk zenu hizo, yale yalikuwa si mauaji ya mwanzo na wala hayataokuwa ya mwisho kwa polisi TZ sasa kwa hivyo CDM lazima ifikirie kwa makini kabla ya kuwatoa muhanga wanachama wao ili viongozi wake wapate faida kisiasa.Hiyo kufikishwa watu ICC ni ndoto tu.mimi nina wa support polisi 100% kwa kile walichokifanya na nawaomba waendelee kufanya hivyo kama usalama wao na wa raia utakuwa kwenye matatizo.kwa hivyo chadema should take responsibility kwani hatuto feel sorry kwa wao
 
Huyu Zo"m"ba anatumiwa nini jamani mbona haeleweki au ndio hajitambui mpaka leo karne ya 21 hii haoni mbele. Lazima atakuwa ananufaika na wanayofanya hawa mafisadi.
 
Zomba kama unaweza kuangalia Euro news!(leo).nadhani utaona umuhimu na faida ya maandamano.Vile vile utaona jinsi gani polisi wanavyosaidia ili hayo maandamano yawe ya utulivu.

EuroNwes aangalie ubavu anao? Ye c amezoea kuangalia hizi channels za mafisadi ndo maana ubongo umejifunga? Halafu uje EN wanatangaza kwa ngeli huyo bwabwa ataweza kuelewa?
 
Golden opportunity ya kuafanya nini? kujitangaza kimataifa au? this is shit! EU wanashindwa kusimamisha mauaji ya halaiki palestina yanayofanywa na israel, waje kuisaidia CDM? you are not serious! hao EU una waona wasafi?

sana sana kuwaomba wasitoe misaada yao kwa TZ wataadhirika watanzania wote including wana CDM na hata sikumoja EU haiwezi kupindua serikali ya TZ! wala haitawapa umaarufu mnaofikiria.

ICC ndio kabisa haita saidia chochote maana kama wa kufungwa ni Dr. Slaa, maana amri katoa yeye watu wakavamie kituo cha police. wacha waende yetu macho kwanza CDM watafundishwa namna ya ku control mobs zao.

Maneno ya woga na kupindisha malengo.
CDM katu hawawezi kushauriwa na wezi, CCM au wakala wao kama wewe ili wafanye hili au lile.

CDM ni strategic, and well done!
 
We kizibao ndio walewale tu wasiojitambua huna jipya kalale unaleta ujinga wa makamba na chatanda hapa ' Get yourself out of Great Thinkers" jiunge na mtandao wa mafisadi
 
sipingi kwa hili jinsi chadema inavyotaka kuishitaki serikali,ni ubinaadamu na wanaushahidi go guys..

ila swali langu ni hili,kumbe hayo mambo ya ufisadi,sijui dowans mara sijui Rostam kumbe hawana ushahidi nao? wanaongea tu? mbona hawajawahi kutaka kuwashitaki? i mean kutokana na ufisadi wa rostam na kikwete,oia si inawezekana kushtaki? kwanini wakimaliza hili la mauaji wasiende kwenye ufisadi?
 
hivi kweli watanzania tuna amini ICC iko fair? nani alisema hizi UN agencies na other intenrational chapters ziko fair?

we better sort our own problems
 
We kizibao ndio walewale tu wasiojitambua huna jipya kalale unaleta ujinga wa makamba na chatanda hapa ' Get yourself out of Great Thinkers" jiunge na mtandao wa mafisadi
Kama wewe ndiyo great thinker basi sishangai kwa nini TZ bado ni masikini na kuwa na uduni wa elimu.kwani kila leo najiuliza hivi genge la wahini(CDM) lawezaje kupata wafuasi, baada ya kuona thread yako nikajua ya kuwa kumbe hao wafuasi wote vi vichwa vya kondoo...hahahahahaa
 
Mara nyingi huwa nawaambia wachezaji wangu keep the ball away from your penalty area, acha wao wa-defend kuliko wewe ku-defend. Nimeona wameanza kujitetea kwa kuchakachua picha TBC 1 wakidhani itasaidia, labda ingekuwa zamani enzi za magazeti ya Uhuru na Mfanyakazi na RTD tu lakini leo hawamdanganyi mtu.

umenena bro, watamdanganya nani na teknolojia ilivyo juu sasa, watachakachua kwenyevyombo vyao, TBC,UHURU,Habari Leo, Dailynews, Rai na Mzalendo.

lakini wengine wote tumeona upuuzi na mauji ya kijinga pale Arusha, gazeti la Reutes limeonyesha askari wetu bila aibu wakipiga vioo gari na mtu yumo ndani, je huku ndio kuzuia maandamano?

hata mchakachue vp, ukweli utabaki pale pale KILLERS or u may call them ASSASINS police
 
Polisi hawawezi kukurupuka tu kwenda kuuwa. Kwanini husemi ni nani aliamrisha maandamano? Kwa nini husemi ni nani aliamrisha kundi la watu waende polisi wakitokea kwenye mkutano wa chadema? Au yote hayo huyajui?

Completely out of context and content. Polisi wanaruhusiwa kuua kama wakiandamana hata kama wameshawishiwa na mtu kuandamana. Hilo ndilo linalotakiwa kujibiwa.
 
Wakuu naomba kutoa ufafanuzi; hapa tunazungumzia International Criminal Court, ile ya Dowans ni International Chamber of Commerce ... ni vituviwili tofauti.
ICC ya mahakama haijihusishi na ufisadi bali makosa ya jinai kama mauaji nk
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom