Polisi yajitakasa isishitakiwe ICC kwa kuua

Polisi hawawezi kukurupuka tu kwenda kuuwa. Kwanini husemi ni nani aliamrisha maandamano? Kwa nini husemi ni nani aliamrisha kundi la watu waende polisi wakitokea kwenye mkutano wa chadema? Au yote hayo huyajui?

Acha utapiamlo wa fikra we kijana. Maandamano hayakuamrirhwa na yeyote, bt yaliruhusiwa na polisi tena kwa barua.

Mbona hutaki kuuliza nani alitoa barua ya kuruhusu? Mbona hutaki kuuliza nani alitoa amri ya polisi kuua? Mbona hutaki kuhoji polisi wanatumia fedha za nani kujisafisha kupitia video wanazochakachua?
Au yote huyaoni??
 
Polisi hawawezi kukurupuka tu kwenda kuuwa. Kwanini husemi ni nani aliamrisha maandamano? Kwa nini husemi ni nani aliamrisha kundi la watu waende polisi wakitokea kwenye mkutano wa chadema? Au yote hayo huyajui?

Zomba acha u.s.e.n.g.e usijifanye hujui nini kimetokea na kwa sababu zipi nevertheless sheria inasemaje kuhusu police kuzuia maandamano ?
hadi sasa katiba inasema police anatakiwa kupata taarifa tu hana sababu ya kuzuia maandamano na je umeshawahi kujiuliza indeep ni kwa nini IGP azuie maandamano kabla ya saa chache kabla ya maandamano? acha ushabiki usio na mpango tunataka haki itendeke si kingine na polisi walikurupuka sana tena si kidogo
 
Zomba si kosa lake-katumwa yuko kwa kazi maalumu. Ndo kate wake wa kila siku, cha msingi achaneni na hoja zake
 
Zomba nimejaribu kukufikiria wewe ni mtu wa namna gani upeo wako ukoje nimekwenda mbali zaidi kutaka kujua hata jinsia yako nimeshindwa kupata jibu. imebidi nikusamehe kwani hata mata vichaa,matahaira mizoba mungu huwa anawaumba ili na wao wapate ile haki ya kuishi na kutusumbua mungu anakusudi lake. kwa faida ya wengi ni kwamba IGP MWEMA RPC ANDENYEGE hawanamamlaka ya kuzuia kibali cha kufanya maandamano.sheria inasema mwenyemamlaka ya kutoa na kufuta kibali cha maandamano au mikutano ni mkuu wa askari wa wilaya ya eneo husika. ngazi ya juu haitaweza kukifuta kibali cha mikutano au maandamano ispokuwa pale Rais atapotangaza hali ya hatari.sasa rais hajatangaza hali ya hatariilikuwaje huyu kashfa akatangaze kuwafutia CHADEMA kibali cha maandamano tena kwenye vyombo vya habari?? huu si us en ge?? zoba usilolijua usilichangie eti kwasababu unajua kutumia computer
 
Zomba ana akili sana kuzidi wengi wa hao wanaofikiri HANA.

Kila akiwatekenya, wanalia kwa mpigo AUUU!!!!!!!!!!

Kama una akili zako sawasawa, hujibizani na ZOMBA.

Labda wewe ni mgeni au yeye anaandika na KUJIJIBU na wengine wanafuata mkumbo......
 
Polisi hawawezi kukurupuka tu kwenda kuuwa. Kwanini husemi ni nani aliamrisha maandamano? Kwa nini husemi ni nani aliamrisha kundi la watu waende polisi wakitokea kwenye mkutano wa chadema? Au yote hayo huyajui?


Matokeo ya kufikiria kwa kutumia tumbo ndio haya mkuu. unauliza maswali kwa kutumia akili za Makamba. Katiba ndiyo inayoamrisha maandamano, kuamrisha kundi la watu kwenda polisi hakuna sheria ya Tanzania inayozuia watu kwenda polisi wanapokuwa na kitu cha kudai...hata Mahakamani Kisutu na Korti Kuu watu wanajazana na kisha kutawanyika hawapigwi risasi. Mwambie Makamba akupe maswali mengine tukupe majibu.
 
Mjadala huu umekaa kishabiki sana lakini sote tukumuke hii ni nchi yetu sote, Haki inaendana na wajibu. Pia ni vema kuangalia uwezo kizana wa Polisi, wenzetu mitaa yao inalindwa na satelite hapa kila kitu ni manually! Ni vema kama ushahidi upo na cdm wanadhani hii ni kesi nzuri kwa ICC waipeleke tujue mwisho wake! Ni vema kukubali ukweli hata kama ni mchungu! Huwezi kuruhusu wananchi zaidi elfu kuvamia Makao Makuu ya Polisi Mkoa na kuwaacha eti kwa sababu ya kuzuliwa uhuru wa kuandamana! Bahati mbaya wote wanaosema haya hawakwenda kuvamia kituo, hata hao waliohamasisha vijana kwenda kuvamia wao wenyewe hawakwenda kwa kuwa wanajua ni kosa!
 
Back
Top Bottom