King Suleiman
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 496
- 327
Golden opportunity ya kuafanya nini? kujitangaza kimataifa au? this is shit! EU wanashindwa kusimamisha mauaji ya halaiki palestina yanayofanywa na israel, waje kuisaidia CDM? you are not serious! hao EU una waona wasafi?
sana sana kuwaomba wasitoe misaada yao kwa TZ wataadhirika watanzania wote including wana CDM na hata sikumoja EU haiwezi kupindua serikali ya TZ! wala haitawapa umaarufu mnaofikiria.
ICC ndio kabisa haita saidia chochote maana kama wa kufungwa ni Dr. Slaa, maana amri katoa yeye watu wakavamie kituo cha police. wacha waende yetu macho kwanza CDM watafundishwa namna ya ku control mobs zao.
acha utetezi dhaifu wewe, mbona tumeshuhudia maandamano yakutisha nchi nyingi kama ufaransa juzi lakini hatujaona mauaji ya raia kwa makusudi na kupiga ovyo na kipuuzi raia.
unataka kuniambia Josephin mchumba wa dk Slaa alipigwa karibu na kituo cha polisi? Unataka kutuambia wale waliojeruhiwa kwa risai ni karibu na kituo cha polis?
Je magari yalipokuwa yanmavunjwa vioo ni kituo cha polisi?
acha kurubuniwa na taarifa ya utetezi ya polisi ambayo utetezi wake hauna tija wala ukweli wowote, waongee wazi walitumwa kuua na kuumiza waandamanaji na si kuzuia, wanaongea uongo na wewe na akili zako unakubali kama mdanganyika?
kwa sasa sisi ni WATANZANIA NA SI WADANGANYIKA, Mwema hana la kukwepa zigo hilo la lawama. Unamlauma Dk Slaa kwa kuchochea watu mbona hulaumu upuuzi wa polisi kukamata viongozi kabla ya mkutano, ndio intelijensia ilivyowaambia?
hawakujua kukamata hao viongozi b4 mkutano kunaweza kuleta madhara na kuamsha mihemko kama wanavyodai? Stupit inteligency...