Polisi wazuia mdahalo wa Katiba Iringa

Eeeh, jamani, kwani wewe hujuwi kuwa mswaada tuliupeleka kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri akausaini? na wale wa upinzani wamemuomba kukutana nae kabla hajausaini? Sasa saa nyingine mnapoteza wakati kwa miongozo, muda hauturuhusu.

Muda wa kupora mali zetu?????? Btw, hivi huwa ni muswada au mswaada?
'ELIMU HAINA MWISHO'
 
Bora ingekuwa mnajadili Mswaada, ngojeni sheria ya namna ya kuijadili katiba mpya Rais bado haja dondosha saini yake, msifanye haraka, mambo mazuri hayataki haraka, mnanchekesha.

Wamekusoma mama SS. Sina hakika kama wataelewa mawazo yenu mfu.
 
Magamba na chadema nani haoni mbali? Ndo tatizo lenu, ndoa yenu ya mkeka inatuletea matatizo jamani.
Magamba na CHADEMU inahusika vp na Dr. Abdulhaleem bin Juma bin Njelenje, who does NOT believe in politics? Unadhirisha fikra legevu na assumptions dhaifu, ndio yaleyale..signature ya CHADEMU sapota, fikra fupifupi na kutokuwajibika kimawazo.
 
Hivi katiba ya sasa unaijua..? Huhitaji ruhusa ya mtu yeyote kuwa au kutoa maoni yako..? Hata kufikiri huhitaji ruhusa ya mtu..? Sasa unataka hao wananchi wasubiri ruhusa ya mtu mwingine ndio waanze kufikiri...! Anaglia sana usomi wako...??!!!
Katiba unaijua wewe peke yako na wanachademu wenzako tu, u should be proud of urselves.
 
Katiba unaijua wewe peke yako na wanachademu wenzako tu, u should be proud of urselves.

Wewe usitupotezee muda wetu hapa, unaulizwa kuhusu kondoo unaleta habari ya mbuzi. Kama umeajiriwa aliyekuajiri alitumia 'mananiliu' kukuchagua.
 
Wewe usitupotezee muda wetu hapa, unaulizwa kuhusu kondoo unaleta habari ya mbuzi. Kama umeajiriwa aliyekuajiri alitumia 'mananiliu' kukuchagua.
nenda kalime, mvua za vuli zimeshaanza.. Hamna aliyekulazimisha kujibu watu JF.
 
Magamba na CHADEMU inahusika vp na Dr. Abdulhaleem bin Juma bin Njelenje, who does NOT believe in politics? Unadhirisha fikra legevu na assumptions dhaifu, ndio yaleyale..signature ya CHADEMU sapota, fikra fupifupi na kutokuwajibika kimawazo.

Samahani maalim, what do you mean chademu?
 
Sawa, wewe ndo umesoma..na unasumbuliwa na akili nyingi mpaka unachamba kwa karatasi:biggrin1: na kutembea na keki makalioni.

Bora 'kunaniliu' kwa makaratasi kuliko maji meusi ya Igunga nilikuwa pale wakati wa uchaguzi wa kurekebisha gamba lililobomoka. Teeh he he he.
 
Haya ni mambo ya mpito tu, watazuia watachoka, na baadae watakuwa vinara wa kuongoza midahalo na kupinga maovu.
 
Back
Top Bottom