LordJustice1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 2,263
- 530
Bora ingekuwa mnajadili Mswaada, ngojeni sheria ya namna ya kuijadili katiba mpya Rais bado haja dondosha saini yake, msifanye haraka, mambo mazuri hayataki haraka, mnanchekesha.
Wewe ni nani mpaka utoe "mwongozo wa spika" wa namna ya kujadili mambo?