Nikiwa mwana UV-CCM. Namuomba rais wangu Jakaya Mrisho Kikwete Ajiuzulu. Rais, umeshindwa kazi, kila kitu nchini kwetu kinakwenda mrama. Fanya ustaarabu kwa manufaa ya Taifa lako, na watoto wako; Tunakuomba ujiuzulu. umeshindwa kuliongoza taifa. Unatia Aibu Kwa nini unazuzura wakati taifa linaporomoka. Hivi una akili timamu kweli? Kwa nini uingie kwenye rekodi ya dunia kama Rais mzururaji kuliko wote? Tafadhali jiuzulu kabla CHADEMA hawajakuaibisha na maandamano yatakayokuondohttps://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/153682-please-kikwete-just-resign-4.html