Haya ya mashangingi na posho hivi ni nani hasa muasisi wake? Ni JK? BM? AM? JN? Thats why we are doubting about your thinking capability.Kidatu ndugu yangu, Kikwete kama mtu sina shida nae na wala simchukii hata kidogo.
Umekiri mwenyewe kuwa kuongoza watu million 40 si kazi ndogo. Kwa maana hiyo unahitajika umakini. Lakini Kikwete amethibitisha kuwa si kiongozi makini hata kidogo. Hebu jiulize, vitu vidogo vidogo kama kupunguza tu matumizi yasiyo na tija kutokana ukubwa wa baraza la mawaziri, magari ya kifahari na posho hawezi kuamua ataweza kufanya maamuzi gani yanayoashiria ubunifu? Basi angalau aanze na hayo ambayo ni rahisi, anaona ugumu gani?
Muasisi wa taifa hili aliwahi kusema" ukiwa kiongozi, kazi yako ni kuwaongoza watu, lakini uwaambie ukweli wale unaowaongoza ni wapi unakowapeleka, usiwadanganye kuwa unakowapeleka kuna barabara ya lami, wakati ukeli unajua mnaelekea msituni. Ni afadhali uawambie ukweli ili wale wenye viatu vyao wasije wakaviacha, halafu wakifika mbele wakakuta miiba" Huyu JK atuambie tu, tumekataa RINCHMOND, akatuzunguka akaanzisha Dowans,tulipoipinga akaja na mpya akamwalika mama Clinton akaja kuzindua SYMBION, haya yote ni majina lakini hakuna nati hata moja iliyonunuliwa mpaya kubadili iliyokuwepo kweneye mitambo ya RICHMOND, huyu mtu kweli kama hatupeleki korongoni ni wapi anatupeleka? Nilipenda kauli yake na ya BIll Ngereja kuwa mgawo wa umeme utakuwa historia- kumbe maana yao halisi, TUTAPATA MGAO MKUBWA KWA KIWANGO AMBACHO HATUJWAHI KUKIPATA TANGIA TUITWE TANZANIA- NA NDIYO YANAYOTOKEA SASA. mara gridi ya Taifa, mara mitungi ya SONGAS, ,mara IPTL sijui nini kitafuata zaidi.
Watanzania tumejitakia wenyewe na sasa tuwewavumilivu mpaka mwisho wa dahali
Ndugu,Kudai kwako kwamba mie nilichamgua naamini umeamua kunitukanajiuzulu kwanza wewe uliyemchagua! ...samahani lakini namaanisha ni kama watu wa Mwanza wangelishindwa kumlinda Wenje akachakachuliwa alafu sasa hivi wamwambie Masha 'jiuzulu'. Makosa tunayo sisi na tunaendelea nayo.
Nakubaliana nawe kabisa mtoboasiri. Uongozi umemshinda JK na hili dua letu la kuku la kumtaka ajiuzuru nadhani ndo dua sahihi kwa haya tuliyomo sasa. Ila kama nilivyosema hili ni dua la kuku tu, halimpati mwewe hata siku moja. jamaa hawezi kujiuzuru hata kidogo.I simply mean uongozi umemshinda. Si lazima aharibu zaidi kwa ajili tu ya kumaliza muhula wake wa pili
Kama ni UPUMBAVU wewe ni haswaaaa!! kwa sababu hujui wala mbadala wa Rais aliyeleta majanga ambayo hatukutegemea toka uhuru!ajiuzuru ushike wewe nchi? acha upumbavu kijana. hii ndio faida ya kuingia JF baada ya bia za harusi.
Omary mwambie jombaa atuletee umeme basi angalau tujue tuna rais basi?ajiuzuru ushike wewe nchi? acha upumbavu kijana. hii ndio faida ya kuingia JF baada ya bia za harusi.
The comedy ile ya mjengoni, eti wamepunguza kodi za mafuta, mbona bei ni ile ile? CDM anza tujimwage barabarani. sarari hii tunataka mkuu wa kaya ajiuzuru. Maisha magumu, ukosefu wa nishati,
inflation, etc. jamaa utadhani yuko mskule huku akichekacheka
Hili la kusema anaongoza watu zaidi ya milioni arobaini ni nonesense!Unataka kunambia anawajali wananchi wote milioni arobaini?Maana kuwaongoza watu usiowajali si oungozi wa watu hao.Hakuna mipnago ya kitaifa yenye kuonyesha anaijalia nchi yenye watu milioni arobaini.Fuatilia uone ni kina nani hao anaowajali,halafu uniambie kama wanafikia milioni ngapi.Msitudanganye.Mwache Mtoboa siri aendeleee kutoboa siri.Mtoboasiri, nini maana ya uongozi?. Ni rahisi sana kuandika, kusema na kulalamika, lakini kile kiti si mchezo ndugu yangu. Kuongoza watu zaidi ya millioni 40 si kazi ndogo hata kidogo?. Tungetoa mawazo nini kifanyike pale tunapoona kumefanyika makosa ingesaidia zaidi kuliko kutoa kashfa. Tuna uhuru wa kusema ama kuandika mawazo yetu hasa katika kipindi hiki cha JK. Ni vyema kutumia nafasi hii vizuri.
I wish he had so much balls to do what you are suggesting Mtoboasiri,
Hakuna fitina wala majungu hapa. Ukweli unaonekana kwa kila mtu anaetaka kuuona Hali inazidi kuwa mbaya kila kukicha. Kikwete nchi imemshinda, hana uwezo wa kuongoza na hii si siri hata kidogo.
Don't put Tanzanians under the generalisation of 'we voted blindly'. Tanzanians did not vote JK in, instead coup d'tar orchestrated by Usalama wa Taifa, took place and Tanzanians president of choice was denied his deserved victory for fear, hunger and power mongering of the ruling party and the 'those who think that opposition shall never rule this country'.If the President fails to execute the presidency, impeachment may be lasting solution, but it's not easy task it may take years. We voted blindly we are paying the price. African leaders don't resign they stay put like a grease. Resignation is not in their vocabulary
Don't put Tanzanians under the generalisation of 'we voted blindly'. Tanzanians did not vote JK in, instead coup d'tar orchestrated by Usalama wa Taifa, took place and Tanzanians president of choice was denied his deserved victory for fear, hunger and power mongering of the ruling party and the 'those who think that opposition shall never rule this country'.
I would not have much problem, except for democrary, if after such a coup, the declared president would have performed better and possibly different from the first phase. this would have shown that he has learnt his lesson and now the country is back kwenye mstari. But as it is, things are getting worse and will continue becoming worse.
What's the point of keeping the person who is not the choice of his electorates? It is our country that is the end loser of all this. No wonder hawa sio usalama wa taifa bali usalama wa watawala. If they had this country at heart, they wouldn't have allowed a person lacking legitimacy to retain presidency of our country