Please Kikwete, just resign

Nikiwa mwana UV-CCM. Namuomba rais wangu Jakaya Mrisho Kikwete Ajiuzulu. Rais, umeshindwa kazi, kila kitu nchini kwetu kinakwenda mrama. Fanya ustaarabu kwa manufaa ya Taifa lako, na watoto wako; Tunakuomba ujiuzulu. umeshindwa kuliongoza taifa. Unatia Aibu Kwa nini unazuzura wakati taifa linaporomoka. Hivi una akili timamu kweli? Kwa nini uingie kwenye rekodi ya dunia kama Rais mzururaji kuliko wote? Tafadhali jiuzulu kabla CHADEMA hawajakuaibisha na maandamano yatakayokuondohttps://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/153682-please-kikwete-just-resign-4.html
 
Soma signature ya Lukolo mkuu. Kama chama cha magamba hakitaamua kutenganisha kati ya uongozi wa juu wa chama na wa serikali, basi hamtakaa mfanye la maana. Maana yeye ndiye mwenyekiti wa chama na ndiye mwenye say ya mwisho kuhusiana na maamuzi mengi ya chama. Sasa wa kumshawishi mwingine aachie madaraka ni nani? Kule kwa Mbeki waliweza kwa kuwa uongozi wa chama ulikuwa ni independent kutoka kwenye serikali. Sasa nyie hapa,huyo huyo katibu wa chama, huyohuyo waziri, mara mkuu wa
 
Its painfully clear to me. We either break free from this system completely or we embrace it completely and become vampires and drink the blood of our people like Kikwete and the CCM! this sh**t is depressing. I WANT HIM OUT! we gotta SNI now PLEASE!!! We dont want you anymoreKIKWETE GO WITH PEACE AND LEAVE OUR COUNTRY ALONE
kwanza shukuru mungu umesomeshwa na nchi hii ikiongo
 
Atoke MAGOGONI na achague kwa kwenda Nchi imemshinda, kama amekutuma mwambie watanzania hawakutaki
watanzania gani hao ambao hawamtaki jk? mbona wale tulio mchagua kwa kishindo 2010 na kumgalagaza slaa bado 2namhitaji labda nyie wanafiki wachache mnaojifanya tz ni yenu ndo hammtaka jk...subirini 2015 2wagalagaze tena msingizie kuchakachulia wimbo wenu wa chatema...
 
ndiooooooooooooooooooo we need no more gambazunamzungumzia huyu huyo Janga la Kitaifa? haachi walah....[/QUOTE]
 
Mtoboasiri, nini maana ya uongozi?. Ni rahisi sana kuandika, kusema na kulalamika, lakini kile kiti si mchezo ndugu yangu. Kuongoza watu zaidi ya millioni 40 si kazi ndogo hata kidogo?. Tungetoa mawazo nini kifanyike pale tunapoona kumefanyika makosa ingesaidia zaidi kuliko kutoa kashfa. Tuna uhuru wa kusema ama kuandika mawazo yetu hasa katika kipindi hiki cha JK. Ni vyema kutumia nafasi hii vizuri.
sasa ndio ukimbie watu wako kila leo? Unataka nini kifanyike zaidi ya jamaa kuachia?
 
Acha ujinga wewe, ina maana huu upupu wote ambao unafanywa na serikali wewe huoni mpaka useme kwamba atoe maelezo,unalala na giza na ufisadi wa mabilioni unafanyika hilo huoni???au maelezo gani unataka upewe???

Pasua baba!!! Hatata asiye na macho anaona.
 
Kama kwa kweli aliomba nafasi ya kutuongoza tukampa hiyo nafasi lakini uongozi wenyewe ndo huu wa kutupeleka gizani na kutuweka rehani kwenye mikono ya mafisadi, basi ni afadhali aachie ngazi.
nafasi ya kuongoza alipewa 2005 tu! Hii nyingine kaikwapua
 
yani nimejaa sumu na huyu kiongozi jaman cjui afanye zuri lipi auguse moy6 wangu.
bwana ako ndo wakugusa moyo wako si kiongozi wa nchi, jiangalie ww usilete mapenzi humu jf...here we want people who thnk beyond...kama humtaki rais kivyako...
 
Inauma sana kuona kila uchao watu wanalamba mali zetu Halafu bwana mkubwa anatuimbia nyimbo za kitoto.Kwa kweli kujiuzulu kwake litakuwa ni jambo la heshima sana.
 
kesho saa nne anarudi, eti kenda kusheherekea happybirthday ya baba yake mzee mandela bin khalfani
 
Hii thread ni moja ya ambazo JK mwenyewe anatakiwa kuzisoma. Nchi imemshinda kabisaaaaaaa! Hata tume inawezekana wanajilaumu kwa kumtangaza kuwa alishinda wakati sio kweli.
 
Mtoboasiri, nini maana ya uongozi?. Ni rahisi sana kuandika, kusema na kulalamika, lakini kile kiti si mchezo ndugu yangu. Kuongoza watu zaidi ya millioni 40 si kazi ndogo hata kidogo?. Tungetoa mawazo nini kifanyike pale tunapoona kumefanyika makosa ingesaidia zaidi kuliko kutoa kashfa. Tuna uhuru wa kusema ama kuandika mawazo yetu hasa katika kipindi hiki cha JK. Ni vyema kutumia nafasi hii vizuri.

Uongozi ni kuonesha njia kwa wale unaowaongoza; panapotokea matatizo wewe ndio unakuwa mstari wa mbele kutafuta suluhisho ya matatizo. Kikwete sio hivyo, nchi inaingia gizani ndio kwanza anakwea pipa na kwenda kusiko giza ilihali wadanganyika millioni 40 wako gizani!! Haingii akilini kwa mtu yeyote mwenye akili timamu kukimbia nyumbani kwake wakati nyumba yake inaungua na kuwaacha wanawe wakiteketea!! Baba kama huyo hafai kuitwa baba na anastahili kutoswa.
 
Nimekasirika sana,nimechoka sana.....yaani salary iko nyongeza 11%hebu cheki....mafuta ya taa 2400, mkate 1200, unga 800, mchele 1400.............Citaki porojo humu ndani, ole wenu MAGAMBA MNITUKANE......... wote mtakwenda jehenamuuuu!!MOD NILINDE........11% SIO KITU CHA KUUNGA MKONO....nna hasra na mashati ya kijani....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom