Please Kikwete, just resign

hivi hii safari si Zuma kalipia au? Manake si yeye ndiyo kamwalika?

Jamani msishanage yaani hali ni mbaya sana maana ni bora tuanze hata kuona hizi safari za mkuu wetu zisitishwe kwanza tuongezee hela tununue mtambo huo wa Megawatts 100. Kulala giza usiku mzima na watoto wadogo utafikiri tupo Jehanam inakera sana tena sana.

Sasa hivi mwanangu wa miaka 2 umeme ukikatika tu anaanza kulia -- baba memeeee, baba memeeee - inauma sana hii kitu. Baba yake na mi nguvu ya kununua generator sina basi kero tupu.


Mkuu Fuso hapo kwenye nyekundu hata mwanangu mwaka mmoja miezi nane nae umeme ukikatika anasema hivyo hivyo umeme umeme !
 
hivi hii safari si Zuma kalipia au? Manake si yeye ndiyo kamwalika?

Jamani msishanage yaani hali ni mbaya sana maana ni bora tuanze hata kuona hizi safari za mkuu wetu zisitishwe kwanza tuongezee hela tununue mtambo huo wa Megawatts 100. Kulala giza usiku mzima na watoto wadogo utafikiri tupo Jehanam inakera sana tena sana.

Sasa hivi mwanangu wa miaka 2 umeme ukikatika tu anaanza kulia -- baba memeeee, baba memeeee - inauma sana hii kitu. Baba yake na mi nguvu ya kununua generator sina basi kero tupu.
Mwenzio kijenereta ninacho issue ni mafuta
 
Matatizo ya wizara ya nishat na madini hayakuanza leo ni toke awamu ya pili ya uongozi wa nchi na awamu ya tatu kwenye uuzwaji wa ardhi na madini yetu kwa mwamvuli wa uwekezaji ni nani alikuwa waziri wa nishati kipindi hicho
 
Ni kweli kabisa. Anayelea yote haya ni Mhe. Rais mwenyewe. Kiukweli nitashangaa sana ikiwa waziri ngeleja, naibu wake na katibu mkuu hawatawajibishwa na rais; maana kila kitu kipo wazi. Rushwa nje nje!!!!!!!! na Mhe. Rais ndio kiongozi mkuu anayepinga rushwa; sasa rushwa hiyoooo!!!!!!!!!!!! na ushahidi wake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hapo ndipo tutakapojua ukweli rais huwa anasisitiza kuwa rushwa ni adui wa haki, ni kweli au siasa tu!!!!!!!!!
 
Nikiwa mwana UV-CCM. Namuomba rais wangu Jakaya Mrisho Kikwete Ajiuzulu. Rais, umeshindwa kazi, kila kitu nchini kwetu kinakwenda mrama. Fanya ustaarabu kwa manufaa ya Taifa lako, na watoto wako; Tunakuomba ujiuzulu. umeshindwa kuliongoza taifa. Unatia Aibu

Kwa nini unazuzura wakati taifa linaporomoka. Hivi una akili timamu kweli? Kwa nini uingie kwenye rekodi ya dunia kama Rais mzururaji kuliko wote? Tafadhali jiuzulu kabla CHADEMA hawajakuaibisha na maandamano yatakayokuondoa ofisini na aibu ukose hata pa kujificha. Wenzio wakina Thabo Mbeki walipoona mambo mabaya, waliachia madaraka. Nyerere aliachia madaraka. Mbona unakivuruga chama na kuiletea taifa aibu? Mfuate Rostam kwa maana wewe ndo gamba namba moja CCM
 
Chama kinafika mikononi mwake - bora auachie uwenyekiti wa ccm fasta kabla mambo hayajaharibika zaidi.
 
Soma signature ya Lukolo mkuu. Kama chama cha magamba hakitaamua kutenganisha kati ya uongozi wa juu wa chama na wa serikali, basi hamtakaa mfanye la maana. Maana yeye ndiye mwenyekiti wa chama na ndiye mwenye say ya mwisho kuhusiana na maamuzi mengi ya chama. Sasa wa kumshawishi mwingine aachie madaraka ni nani? Kule kwa Mbeki waliweza kwa kuwa uongozi wa chama ulikuwa ni independent kutoka kwenye serikali. Sasa nyie hapa,huyo huyo katibu wa chama, huyohuyo waziri, mara mkuu wa wilaya, mara mbunge na mwenyekiti wa chama ndiyo huyo huyo Rais, utafanya lipi hapo?
Lakini lingine, iwapo yatapita masaa mawili mod hawajafuta hii thread, nenda kanisani au mskitini katoe sadaka. Nilishawahi kuleta thread kama hii hapa ikapotea ndani ya sekunde. So look very mkuu.
 
Its painfully clear to me. We either break free from this system completely or we embrace it completely and become vampires and drink the blood of our people like Kikwete and the CCM! this sh**t is depressing. I WANT HIM OUT! we gotta SNI now PLEASE!!! We dont want you anymore

KIKWETE GO WITH PEACE AND LEAVE OUR COUNTRY ALONE
 
Sure! JK and all his lieutenants must go. We need to overhaul the entire system and rebuild our country.
 
Vampires are not cool dis sh**t have to be drag down , the CCM and its blood suckers ar already filled with the Tanzanian blood , and now they are playing wth the sachets never realising they can loose the sachets , and loose everthing they have in a way they never have realised it .
 
Its painfully clear to me. We either break free from this system completely or we embrace it completely and become vampires and drink the blood of our people like Kikwete and the CCM! this sh**t is depressing. I WANT HIM OUT! we gotta SNI now PLEASE!!! We dont want you anymoreKIKWETE GO WITH PEACE AND LEAVE OUR COUNTRY ALONE
Aende wapi? Na tanzania ni yetu sote pamoja na yeye? Na kwa wakati yeye ndie rais wa JMT!!!Anza ww kwenda ugaibuni
 
President Kikwete is an eyesore in our country's leadership history; he needed to ha left office like yesterday! Kikwete must go!!!!!!!!!!!!
 
Aende wapi? Na tanzania ni yetu sote pamoja na yeye? Na kwa wakati yeye ndie rais wa JMT!!!Anza ww kwenda ugaibuni

Atoke MAGOGONI na achague kwa kwenda Nchi imemshinda, kama amekutuma mwambie watanzania hawakutaki
 
Mkuu Fuso hapo kwenye nyekundu hata mwanangu mwaka mmoja miezi nane nae umeme ukikatika anasema hivyo hivyo umeme umeme !
acha ujinga ww, kijijini kwenu kuna umeme au ww wakati unazaliwa ulikuta umeme kwenu au unataka kujiproud hapa...funzeni watoto wenu mazingira yote ili wazoe...wote 2nashida ya umeme hakuna asie jua hilo......
 
aargh asirudi abaki huko huko tu sioni lolote tunalofaidika na huyu mtalii.
mwambie slaa aongoze nchi ndie unae mtaka...kikwete yupo pale kikatiba sasa huo umbumbumbu ulio nao unadhan jk atakuletea maendeleo kwako...pole utaendelea kulaumu mpaka unakufa...tafakari kisha chukua hatua mwana...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom