Please help!!!.....samsung chat 222 (gt-e2222)

Naipuli

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
266
109
Habari wanajopo.

Simu yangu haina uwezo wa kuaccess yahoo. Siwezi kusoma mails, hata nikifungua web ya yahoo pia inagoma.
Je, kuna namna ya kufanya ili niweze kuaccess email zangu za yahoo kupitia simu yangu??
NISAIDIENI TAFADHARI.
 
Kama unataka kupata emails zako like sms kwa chat@222 ni ngumu bt unaeza uka configer gmail ukapata emails kama cmc.Na kusign in kwa yahoo unaeza kuzixoma na zisiwe na any attachment

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hivi katima ulisoma na Jet lee nini au shwatzenger???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom