Platozoom ndivyo nilivyo...hebu na wewe sema ulivyo

Hapo red wakija wazee wa jf watakusaidia mie pia kijana mwenzio......ila umenizidi 6yrz tu!

hehehe naelewa honey bana, wewe ndio kwanza sheria hata haikuruhusu kuendesha gari, infakti umepishana na lulu kwa miezi tu.

Sasa acha nilog out nikakamilishe ule mpango wetu wa weekend. si unajua sherehe ni mipango? na mipango ni matayarisho?

luv is all I have for you
kich kich beibe.
tchao.

niagie na akina platozoom
 
Vibabu utavijua tu vinawahi kulalaa.....tchao babu klorokwini uote unakimbizwa na Mugabe!!
 
Last edited by a moderator:
hehehee hapo chacha ndo wale walio jipa majina ya wadada wakt wao wakiume heheheee mi ihate faking, arguing wit no facts,hamble one bt ukizingua tuu unapewa yako au nakupotezea . Napenda smiling, laughin pia ila mtu akinichukiza saana nalia ili ni cul down bila hivo naweza mchana neno laajabu n badae najutia.ibelieve on mylifetrend ilivo n im proud of be me. Moderate in height, colour dnt trust men 100% im doin wat is right kwa mim coz huwez satsfy watu wote..
 
Mzembe nina six pack la kufa mtu, halaf nikiongea stoi harufu ya mdomo, niko kopi to rait na walcott wa Arsenal, samtaimu hata toilet naenda na suti, sjawahi kuishi uswahilini, wala sjawahi kutongoza, wadada wakiniona tu basi wanajileta wenyewe na vijimaneno vyao kama "super star kloro naomba unihug nipate harufu ya pafyum yako"

Niendelee au imetosha?

loh...
Inatosha...
Naomba tu unihug nipate harufu ya perfume yako.....
 
Nina sifa kama zako kwa kiasi kikubwa. Ila mimi ni black byute.. Hapo ndo tumetofautiana. Kwa kifupi siyo mwongeaji sana unless kama tumezoeana.

black byuti ndo ugonjwa wangu....
Ngoja niandae mpango mkakati wa kukufukuzia.......
 
Platozoom me cjatofautiana sana nawe ila nina sifa hz.
1. Me ni Me/Ke, mrefu wastani,maji ya chokleti na mnene kiasi.
2. Nina hasira sana hasa ukinipora changu nnaweza kukupiga hata na 'mguu wa kuku.
3. Napenda sana starehe hasa za nje ya miji.
4. Ukiniomba chochote nakupatia,sina hiyana.
5. Mwisho napenda sana vibabu na vibibi vyenye ndevu nyeupe,huwa vinanikoshaga sana,
we acha tu...!!!
Madame bii,karibu kwenye farm house yangu,iko nje ya jiji,fully airconditioned,bar imejaa kila aina ya ulabu,ulinzi ni wa kutosha.
 
Platozoon,m PM Lizzy,ndo mtu pekee nafahamiana naye jf,atakupa wasifu wa bishanga.
 
Si kawaida sana mtu kujielezea jinsi ulivyo: Mwonekano, tabia na vitu unavyovipenda bila ku-pretend.
Kuna watu hata kusema jinsi walivyo kwao ni vigumu sana pengine kwa hofu ya kudharauliwa, kutengwa, kuchekwa au hata kutishwa.
Kwa sababu twaonana kwa kutumia ID hebu tujiseme tulivyo.

Mimi naanza kusema na kujisema kwa ukweli kabisa:

1. Ni mwanaume, rangi maji ya kunde, mrefu kiasi lakini mwembamba.
2. Rahisi sana kupandwa na hasira lakini mwepesi kujizuia kuzionyesha.
3. Sipendi mtu anidanganye kwa sababu huwa nahisi ananidharau au kuniona mjinga

4. Ni msiri sana..hata nikikuona unafanya jambo baya naweza kupotezea tu labda kama litaniathiri mimi na jamaa zangu.
5. Ukiniomba fedha/kukopa huwa sina maneno ya kuzungusha..nakwambia sina kama sina.
6. Naweza kujua kitu lakini nikajifanya sijui ili nisikie maoni ya upande wa pili.
7. Simwamini mpenzi wangu kwa 100%

Hebu na wewe sema ulivyo, kwa kuanzia akina Erickb52, sweetlady, Erotica, Asprin, Bishanga TANMO, EMT, Mwali N.K.

Mnataka kunijua babu yenu ODM siyo? Haya ukishasoma umwambie na BADILI TABIA. Nasikia naye ana mahaba ya kunijua.
Jina: ODM
Umri: Siri yangu ila nilizaliwa kipindi kile cha mvua kubwa iliyoandamana na jua kali, nadhani itakuwa 1952
Rangi: Mweusi lakini siyo tii.
Uzito: Kg 114 baada ya kukata kilo 7 hivi karibuni
Urefu: Sentimeta 118 au kwa vile vipimo vingine futi nne na ushenzi kadhaa
Dini: Mkristo, mara ya mwisho kwenda kanisani ilikuwa 1992 wakati wa ibada ya mazishi ya bibi yangu (RIP)
Elimu: Form two ya mkoloni, sawa na Masters ya Mzumbe University ya karne ijayo
Size ya kiatu: Namba 11.
Marital Status: Married with two beautiful kids. Wasipoolewa na mahandsome matajiri, ntawaoa mwenyewe.
Wajihi: Handsome, Meno mawili ya mbele yameng'oka (nshaagiza ya bandia toka brazili). Kitambi kikubwa lakini siyo sana (Mara ya mwisho kuona kikojoleo changu live ilikuwa 1997, hivi sasa nakiona thru kioo)

Mkimwona Preta mwambieni ninamiliki six packs kwa kifua yangu, asihangaike na fellow tablet klorokwini. Pia Msimwambie asali yangu Kongosho kama nimetoa siri yetu.

Hivi leo jumangapi vile?
 
Asprin,
asante kwa kuja.....
Ila urefu wako na namba ya kiatu mbona havilingani?

Una mpango gani na hicho kitambi na kilo zote hizo? Loh Kongosho kazi anayo kilo zote hizo anabeba yeye? Ndo maana hanenepi
Hujasema kama una upara.....
 
Hahahaha.... nna upara kwenye vichwa vyote. Wa juu wa kunyolewa saluni na wa chini wa kuondolewa mkono wa sweta lol........... Kuhusu Kongosho, usijali tunatumia ile staili inayoitwa Paka Kajamba
 
Last edited by a moderator:
1. Mimi maji ya kunde
2.si mrefu wala si mfupi
3.Cpendi kudanganywa wala kudanganya
4.Sio mnafiki. Ukizngua nakwambia papo hapo
5.sio mwoga wa kujaribu mambo mapya
6.Napenda marafiki na ndugu
7.Siamini katika kushndwa.
8.Bado cjawekeza kwenye mapenzi(Cna msebule wala cjaweka m2 ndani)
9.napenda kukutana na watu wapya mara nyng ktk maisha
10. Sina hasira za haraka
11. Si mtu wa visasi
12. Napenda watoto
13.Napenda kucheka na kila mtu
 
Nicas Mtei, mependa cv yako. afu 99% twafanana isipokuwa we ni mwanaume ndo tunapotofautiana!
 
Last edited by a moderator:
Mie hata bado kujitambua..ila kuna mmoja anaweza kunitambua nikoje
Ooops napenda (.....)
Sipendi(......)
elimu yangu ile miaka ya sabini wenyewe mnajua tuliosoma miaka ile.
Fill in the blanks
 
1. Mimi maji ya kunde
2.si mrefu wala si mfupi
3.Cpendi kudanganywa wala kudanganya
4.Sio mnafiki. Ukizngua nakwambia papo hapo
5.sio mwoga wa kujaribu mambo mapya
6.Napenda marafiki na ndugu
7.Siamini katika kushndwa.
8.Bado cjawekeza kwenye mapenzi(Cna msebule wala cjaweka m2 ndani)
9.napenda kukutana na watu wapya mara nyng ktk maisha
10. Sina hasira za haraka
11. Si mtu wa visasi
12. Napenda watoto
13.Napenda kucheka na kila mtu

umeadimika!
 
platozoom mie Erotica i am hot and sexy, sometimes sichoki hata kujiangalia kwenye kio.

najaribu kujitoa kasoro nashindwa. sioni. kasoro yangu ni moja tu! I am too hot. I am mischeavious.

calculative. siwi na mtu maishani wa kunipotezea mda awe me ama ke. nipo spontaneous ktk

kila jambo. nipo open sipendi kujifekisha. nipo talented hasa pande za bedroom. hasira hata mimi ninazo.

sipendi kuudhiwa kijinga kabisa. ni mtoto pekee wa familia yetu. nina tabia moja, ukiniumiza kwa lolote. unalo..........
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom