Platozoom ndivyo nilivyo...hebu na wewe sema ulivyo

Platozoom me cjatofautiana sana nawe ila nina sifa hz.
1. Me ni Me/Ke, mrefu wastani,maji ya chokleti na mnene kiasi.
2. Nina hasira sana hasa ukinipora changu nnaweza kukupiga hata na 'mguu wa kuku.
3. Napenda sana starehe hasa za nje ya miji.
4. Ukiniomba chochote nakupatia,sina hiyana.
5. Mwisho napenda sana vibabu na vibibi vyenye ndevu nyeupe,huwa vinanikoshaga sana,
we acha tu...!!!
 
mimi ni mfupi mnene mweusi....nina kibinda juu juu ka breki ya faya....sasa hivi nimeshonea weaving rangi ya blonde....napenda kutembea majesticale na sipendi kugain momentum kabisa.....kumbi kumbi nawala lakini sio siku hizi....napendelea nguo za samawati....
 
Nina sifa kama zako kwa kiasi kikubwa. Ila mimi ni black byute.. Hapo ndo tumetofautiana. Kwa kifupi siyo mwongeaji sana unless kama tumezoeana.

Wauu..black byute..........ila kwa kutokuwa mwongeaje sana hapo pia nimo? tena tukijuana utani kwa kwenda mbele
 
Platozoom me cjatofautiana sana nawe ila nina sifa hz.
1. Me ni Me/Ke, mrefu wastani,maji ya chokleti na mnene kiasi.
2. Nina hasira sana hasa ukinipora changu nnaweza kukupiga hata na 'mguu wa kuku.
3. Napenda sana starehe hasa za nje ya miji.
4. Ukiniomba chochote nakupatia,sina hiyana.
5. Mwisho napenda sana vibabu na vibibi vyenye ndevu nyeupe,huwa vinanikoshaga sana,
we acha tu...!!!

Madame B mpaka jasho limenitoka unavipendea nini vibabu usifanye nitie rangi kwenye nywele zangu za juu
 
Last edited by a moderator:
mimi ni mfupi mnene mweusi....nina kibinda juu juu ka breki ya faya....sasa hivi nimeshonea weaving rangi ya blonde....napenda kutembea majesticale na sipendi kugain momentum kabisa.....kumbi kumbi nawala lakini sio siku hizi....napendelea nguo za samawati....

So cute & byuti natamani nikuone nitachekaje...oooh sorry nitafurahije
 
nasubiri kusoma wasifu wa Asprin TANMO Bishanga na EMT....

Na kwa hisani ya watu wa marekani, loya klorokwini aje kumwaga wasifu wake,

bila kumsahau Mtambuzi,

Mzembe nina six pack la kufa mtu, halaf nikiongea stoi harufu ya mdomo, niko kopi to rait na walcott wa Arsenal, samtaimu hata toilet naenda na suti, sjawahi kuishi uswahilini, wala sjawahi kutongoza, wadada wakiniona tu basi wanajileta wenyewe na vijimaneno vyao kama "super star kloro naomba unihug nipate harufu ya pafyum yako"

Niendelee au imetosha?
 
Endelea tunakusikiliza.
 
Waifu wa jirani yangu pia alitaka kudai talaka nimuowe mimi nikamjibu kwa kiingreza impossibo, ametishia kujiuwa.

Nazani sasa imetosha. Mambo vipi honey?

Hehehe..... klorokwini bana.....si useme tu huyo waifu wa jirani ni Erotica?

Mambo poa baby.....( hivi how old are you tena? Preta amekataza kuita wazee baby lol)
 
Last edited by a moderator:
Mzembe nina six pack la kufa mtu, halaf nikiongea stoi harufu ya mdomo, niko kopi to rait na walcott wa Arsenal, samtaimu hata toilet naenda na suti, sjawahi kuishi uswahilini, wala sjawahi kutongoza, wadada wakiniona tu basi wanajileta wenyewe na vijimaneno vyao kama "super star kloro naomba unihug nipate harufu ya pafyum yako"

Niendelee au imetosha?

tehe tehe....Acha kujifagilia wewe, humpati mdada hata mmoja hapa kilingeni....Labda kama ungesema wewe Diamond!! au kaka yake Kanumba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom