Platozoom ndivyo nilivyo...hebu na wewe sema ulivyo

Mie sijanuna manake na mimi pia simwamini nilienae.....nilishawahi kuingizwa chaka toka siku hiyo nimejifunza.....dunia ya sasa ni kuishi kwa matumaini na kumwomba Mungu tu platozoom
sweetlady mimi penda wewe....namaanisha kwa sababu moja tu umejifunza!!! basi
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
mrefu 165cm,white,slim. hapo panatosha. aaah nimesahau. cpend kuburuzwa hasa na m-mme. cna kinyongo a.k.a gubu.ukinibore nakupa za uso. ni mchangamfu km username yangu ilivo!
 
mrefu 165cm,white,slim. hapo panatosha. aaah nimesahau. cpend kuburuzwa hasa na m-mme. cna kinyongo a.k.a gubu.ukinibore nakupa za uso. ni mchangamfu km username yangu ilivo!
charminglady hiyo red ndio imekushushia maksi!! hakyanani
 
Last edited by a moderator:
Nina sifa kama zako kwa kiasi kikubwa. Ila mimi ni black byute.. Hapo ndo tumetofautiana. Kwa kifupi siyo mwongeaji sana unless kama tumezoeana.
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom