klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,648
- 5,139
Hehehe..... klorokwini bana.....si useme tu huyo waifu wa jirani ni Erotica?
Mambo poa baby.....( hivi how old are you tena? Preta amekataza kuita wazee baby lol)
Nilifanya besdei last week nimeingia 24. Siku zinakimbia kweli walahi yaani nimezaliwa juzi tu leo tayari niko 24 khaaa!