Elections 2010 Pingamizi la CHADEMA latupwa

i knew it Tendwa ni kilaza flani hivi...Sasa sheria waliitunga ya nini kama wao wenyewe wanajua hawawezi kuitekeleza.this country bana yaani utumbo mtupu
 
i knew it Tendwa ni kilaza flani hivi...Sasa sheria waliitunga ya nini kama wao wenyewe wanajua hawawezi kuitekeleza.this country bana yaani utumbo mtupu

tatizo sio tendwa hoja za chadema hazina mashiko, mbona kule nyamagana wamepewa?
 
kuna mwenye full rulling atuwekee hapa tuweze kuichambua kabla ya kusema... Tafadhalini
 
Msajili wa vyama vya siansa amelitupa rasmi pingamizi la chadema dhidi ya mgombea urais wa CCM. Makamba amelizungumzia hilo kutokana na barua aliyoipata toka kwa msajili

Msajili amesema hana mamlaka ya kutangaza bali kuwatumia barua wahusika yaani CCM na CHADEMA

Naona bado haijakaa vizuri, kama hana mamlaka ya kutangaza, nani ndiye mwenye mamlaka hayo? Na hizo barua alizozituma zilikuwa zinasemaje?
 
ingekuwa ni ndoto kweli kuona ati Tendwa amekubali pingamizi hilo. Ni mfumo wenyewe ulivyo tu... ila a precedent has been set..
 
Imekuwa kama hukumu ya Mahakama ya Rufani iliposema kuwa "Suala hili ni la Kisiasa zaidi?" Kazi ipo mwaka huu!
 
Radio ya CCM iitwayo CLOUDS FM nimesikia ikitangaza kwamba Pingamizi limetupwa kwa sababu eti Chadema hawana hoja kwani KIKWETE hajakiuka sheria yoyote. Hakuna details. Ila hii nadhani itawasha moto. Chadema waliweka pingamizi ili kuchokoza tu. Ngoja tuwasikie wapiganaji akina Tundu Lisu watasemaje.
 
i knew it Tendwa ni kilaza flani hivi...Sasa sheria waliitunga ya nini kama wao wenyewe wanajua hawawezi kuitekeleza.this country bana yaani utumbo mtupu

Naunga mkono hoja 100% ni upuuzi mtupu lakini tutafika tu hakuna kisicho na mwisho..
 
Nadhani Ni Wakati Wa Chadema wa Kwenda Mahakamani sasa, Wakati Marando Anahangaishana nao Mahakamani Wapiganaji wengine wako kwenye Field
 
Back
Top Bottom