Elections 2010 Pingamizi la CHADEMA latupwa

wanayo ya matusi, kejeli, na kuchukua wake za watu na kuwachukua makapi

Mbona hausemi wanashirikiana na nani katika mambo yao? Yule anayenunua watu kuanzia wahudhuruaji wa mikutano ya kampeni? Matusi na kejeli ni nini kusema huyu mwizi ni matusi? "Mficha uchi hazai"wahenga walisema. Hao wake za watu wanachukuliwa waume zao wakiwa wapi au mipango yenu imekamilika?
 
Huwezi kuinusuru nchi kwa kuendelea kuwatetea mafisadi mkubwa!

Usisumbuke sana, huyu anainusuru njaa ya tumbo lake,anaishi ktk upofu na umaskini wa fikra, kwake yeye ufisadi ndio msingi wa maendeleo yake,anaishi kiujanjaujanja kwa vile kafumbwa na haoni mbele kuna nini. Hawa watu ambao wanaongezeka kwa kasi kupitia ahadi hewa watasumbua sana kipindi hiki
 
HILI LIMESHITUA WATU LEO!
Marekani na Umoja wa Nchi za Ulaya wamekemea vikali kitendo cha Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Slaa kupora mke wa mtu!!!!!!!!!!!!!! Reina jersan mwakilishi wa EU amesema ni aibu na ukosefu wa maadili kwa kiongozi anaetaka madaraka ya Nchi kujiingiza kwenye kashifa ya ufusika hasa katika kipindi hiki dunia inapigana na janga la ugonjwa wa UKIMWI,nae mwakilishi wa marekani amesema ni aibu kwa akina mama na fedheha kwa viongozi makini duniani!!!! akasema hashangai hata hivyo kwani usikute anainga tabia ya ZUMA!!!!!
 
Huyu mheshimiwa hivi u Dr.wake ni wa kupora wake za watu, du hii ni kali ya mwaka. yeye si Dr. Makombora si angetungua kitu kipyaa????? sasa akina OBAMA wa USA halahala kuja TZ na ma firstlady wenu atakapoingia hekaluni kwani watatunguliwa kwa staili ya B52.
 
wewe na elimu yako ya madrassa umekaririshwa b52 na nani - shehe kiparauji au kipigosoki
 
Back
Top Bottom