Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,232
- 113,610
muktadha
Yakhe naona hili neno umelipenda sana maana katika siku za hivi karibuni umekuwa ukilitumia sana kila upatapo upenyo :becky::becky:
muktadha
Na kwa nini Tendwa alionekana Cahnnel 10 kama vile anashake wakati akiongea na waandishi wa habari?
Labda kwa wananchi kuacha kufanya mambo yao ya msingi na badala yake kujadili juu ya pingamizi. Mjadaala haukuwa hapa JF tu bali hata mitaani kwetu madongo kuinama na huku kijijini kwetu.
Kesi ya Pundamilia:
Hakimu Simba
Mwendesha Mashtaka: Fisi
Advocate wa Mlalamikaji: Chui
Wasikilizaji waliohudhuria: Tai
Askari Police na Magereza: Mbwa Mwitu
Kama Pundamilia ataokoka ni kwa maajabu tu ya Mungu Mwenyewe
Umemaliza --mjadala zaidi wa nini?
Makamba siku zote hawezi kutolea ufafanuzi wa kitu bila kuchapia upuuzi. Sasa ina maana wananchi kujadili masuala ya sheria za nchi ni usumbufu, anataka wajadili mambo gani ya kina Mahimbo kwenda mahakamani.Makamba akinukuu barua ya msajili alisema:
- Pingamizi la CHADEMA halina msingi wowote
- Msajili ametupilia mbali pingamizi hilo
- Pingamizi limeleta usumbufu kwa Wananchi.
Katika hatua nyingine, Bw. Mahimbo, amewaagiza wanasheria wake, wawafungulie kesi ya Madai Dr. Wilbrod Slaa na Josephine kwa kuishi na mke wake wa ndoa. Amedai fidia ya TZS 1 Billion na pia kuna mambo mengine yanayohusiana na watoto:
Sorece: News Bulletin - Channel 10
Yakhe naona hili neno umelipenda sana maana katika siku za hivi karibuni umekuwa ukilitumia sana kila upatapo upenyo :becky::becky:
hahaha nafanya applied linguistics (isimu) baada ya darsa la nguvu hapa (wapi Kiranga):becky:
Applied linguistics ni 'isimu matumizi'....just an fyi, if you don't mind.
Mr. Tendwa hakuwa overly confident kama siku zote alipokutana na waandishi wa habari, thats very interesting to me. Makamba amejitahidi sana kutokutaja sababu za kisheria za kwenye barua ya msajili.
Mnyika ameshauri msajili awaambie wananchi sababu za kutupilia mbali pingamizi hilo na kwamba barua ni confidential.
The race has started all over again.
jamani mnataka mjue ili iweje?Mr. Tendwa hakuwa overly confident kama siku zote alipokutana na waandishi wa habari, thats very interesting to me. Makamba amejitahidi sana kutokutaja sababu za kisheria za kwenye barua ya msajili.
Mnyika ameshauri msajili awaambie wananchi sababu za kutupilia mbali pingamizi hilo na kwamba barua ni confidential.
The race has started all over again.
jamani mnataka mjue ili iweje?
maana walalamikaji Chadema nakala ya maamuzu wanayo kama hawajaridhika waende kortini
mnyika anataka kutuambia haruhusiwi kutoa hadhsrani maamuzi kwakuwa katumiwa kwa barua? nijuzeni