Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,529
Tunaambiwa hakuna fedha, watu wamekosa mishahara, huko Rukwa au Katavi, waalimu wana mishahara hawajalipwa karibu shilingi milioni 60, lakini Waziri Mkuu yupo Uingereza, fedha zimetoka wapi? Je kulikuwa na ulazima wa yeye kwenda Uingereza huku hali ya uchumi ni mbaya?